Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dean Henderson ni mchezaji wa Manchester United pale Blades yupo kwa mkopo ndugu..

YNWA
Ok asante swali zuri ngoja nitaje wa EPL make nikitaja nje ya EPL mtasingizia hana uzoefu na EPL, pope wa Burnley liver tunashindwa kulipa £12 mpaka tukaokote kipa jalalani ambaye hata westham club masikini imeona hafai hata kwa backup? Haya dean Henderson wa Sheffield market value yake £20m liver ikimhitaji ana jeuri ya kukataa kuja kuwa backup? Schimichael wa Leicester anaweza kukataa kuwa backup liver mpaka tukaokoteze kipa aliekosa timu, hoja gani unayotaka mpaka useme nakosa hoja, kama ni makipa wala sio washida wapo wengi mno sema mashabiki wa liver mna kasumba ya kuonea uchungu hela ambazo hamchangii hata senti moja, ndo mnakuja kupinga timu isisajili kwa vijisababu uchwara!
 
Give the guy a break last season alitupa Super cup, na aliplay part kubwa mwanzo wa msimu wakati Allison alivyokuwa injured. Ndio amefanya makosa kwenye baadhi ya games lakini pia Kuna mazuri amefanya mengi.

Hizi ndiyo loser Mentality zinzotokana na Small Team Mentality.

Ni sawa na Wale wanaohisi tukipewa Pulisic na Origi basi tuchukue Origi kwasababu tu Origi katupa Champion League.

Kwahiyo wanaosema tunue Centre Back pia nao wapo makosani kwasababu Matic na Lovren wamechangia kutupa CL na EPL?

At first place lazima tukubali kuwa Wachezaji hawatupi makombe kwa hisani wala kwasababu ya huruma zao! Ile ni Ajira yao Timu imewalipa kwa kazi ile ya kutuletea makombe.

So, usiongelee kama kwamba Adrian ametufanyia huruma ya kutupa Kombe.

Ni ajambo la ajabu kukaa na mchezaji mbovu kwasababu tu alitupa kombe! Mwaka 2005 Jerzy Dudek alipangua Mikwaju ya Penalty akatupa CL lakini ulipomaliza Msimu tu wa 2005 aliuzwa akanunuliwa Pepe Reina bila ya kuji kuwa alitupa CL kwani ile haikuwa hisani bali alifanya Wajibu wake wa kuajiriwa.
 
Yaani hawa wote ulikwataja hawawezi kukubali kwa back up keepers kwenye timu yoyote ya EPL
Ok asante swali zuri ngoja nitaje wa EPL make nikitaja nje ya EPL mtasingizia hana uzoefu na EPL, pope wa Burnley liver tunashindwa kulipa £12 mpaka tukaokote kipa jalalani ambaye hata westham club masikini imeona hafai hata kwa backup? Haya dean Henderson wa Sheffield market value yake £20m liver ikimhitaji ana jeuri ya kukataa kuja kuwa backup? Schimichael wa Leicester anaweza kukataa kuwa backup liver mpaka tukaokoteze kipa aliekosa timu, hoja gani unayotaka mpaka useme nakosa hoja, kama ni makipa wala sio washida wapo wengi mno sema mashabiki wa liver mna kasumba ya kuonea uchungu hela ambazo hamchangii hata senti moja, ndo mnakuja kupinga timu isisajili kwa vijisababu uchwara!
 
If Bayern Munich win the Champions League, Barcelona will have to pay Liverpool £4.5mil as the Champions League winner clause in Coutinho’s contract doesn’t specify the club he has to win it with.

Imagine having to pay Liverpool £4.5mil for the privilege of losing 8-2. Unreal.
Bayern walikose na Liverpool ikose tu

Imagine tupate huto tu hela halafu tushindwe kumleta Thiago
 
Backup Goalkeeper wananunuliwa kwa Emergency tu,
Ni Goalkeeper gani wa timu kubwa anayeweza kukubali kukaa Benchi nusu ya msimu mzima kwa ajili ya Backup.

He deserves a lot of respect, Adrian amechangia part kubwa ya mafanikio ya team last season

Kama kuchangia Mafanikio ndiyo Certificate ya kuto kuondolewa kwenye Timu basi tusisajili wa tusiuze tena Wachezaji Wetu kwani Wote wamechangia Mafanikio.
Kwanza tulinde heshima zao za kutupa Mafanikio, tusubiri mpaka Wastaafu Wote kwa hiari yao ndiyo tusajili.

Enewey! Backup ya Goalkeeper sio kwamba Ukamchukue De Gea au Oblak, wapo Makipa Wazuri tu ambao ni upgrade ya Adrian unaweza kuwa nao kama backup! Nadhani hujawahi kumuona yule Kipa namba 2 ya Arssenal anavoweza vizuri tu kuziba pengo la Leno.
Adrian sio Upgrade ya Karius, ni same person mwenye different bodies tu.
 
Kuna vitu vingine vinachekesha kweli kweli, so kupangua hicho kipenati super cup ndo tufumbie macho ugarasa wake? League cup katuponza yeye, uefa katuponza yeye bado tu mnaye.

Yani nashangaa sana! Riise na Traore walitupa CL lakini waliuzwa! Eti Adrian katupa Super Cup labda apewe Mkataba wa Maisha.
 
Makosa ni moja wapo ya mchezo mbona hata Van Dyk na Allison wanakoseaga km ile gemu ya Arsenal so nawao hawafai

Kuna Error na Blunder

VVD, Gomez, TAA, ROBBO na ALISSON hawa uwanjani wanafanya ERRORS (Makosa ya bahati mbaya).

ADRIAN na LOVREN hawa wanafanya BLUNDERS (Makosa ya uzembe kwasababu ya uwezo wao Mdogo).

Mchezaji mwenye Consistency nzuri kama VVD au Alisson hata ajifunge waziwazi huwezi kumlaumu bali tunasema ni bahati mbaya kutokana ratio yake ya mistake leading to goal.

Lakini mchezaji kama Lovren na Adrian hawa ni Accident waiting to happen huwa kukosea kwao sio bahati mbaya bali ni jambo la kawaida Muda wowote.
 
Kipenda roho hula nyama mbichi, unakuwa unakuja ni data nusunusu ili kulinda garasa lako, hebu tuzungumzie gemu ya pale anfield, usilete habari za dkk sijui 180 na blabla nyingi, tangu awali nimesema ile gemu ilikuwa ni ya makipa, ATM alipigiwa on target 11 and conceded 2 goals liver alipigiwa on target 3 and conceded 3 goals, ni aibu kubwa sana liver kupigwa come back tena anfield na lawama zangu zote ni kwa Adrian make beki ilimlinda sana.
mkuu kilichotupeleka dk 120 ni nini kama sio ubovu wa foward wetu? unadhani nampenda sana Adrian?.....

najaribu kuwa wazi hapa kwamba tatizo halikua Adrian ila ni walioshindwa kufunga goli ndani ya dk 180 home and away,....... siku zote ukiwa na foward wazuri hizo shot 11 wangezamisha ndani hata 3 tungemaliza kazi mapema bila kwenda 120 huko!!
 
Unalaumu vipi timu ni nzima we middle na forward mpaka dakika ya 95 zimeshaikikishia timu kusonga mbele kwa ushindi wa goli 2 kavu, linakuja pazia linaruhusu magoli 3 mepesi ndani ya 20 halafu mnasema linaatahili heshima, heshima gani sasa?
kwangu mimi makosa ya Adrian ni ya kawaida mana hata Alison hufanya,..... last season kafanya 5 kwenye ligi!......

foward yetu imechoka, mido haitoi magoli ya kutosha, haina ubunifu, hayo ndio mambo ya kuangalia..........
 
Leo unamtetea Adrian kisa mpaka dakika ya 90 hakuruhusu goli unasahau kuwa hiyo wala si sababu ya kuondoa ubovu wake kumbuka karius msimu wa 2017/18 tulifika naye hadi final UCL Leo hii kila timu haimtaki
simtetei ila ninachokataa mimi ni kusema tulitolewa na atletico sababu ya makosa ya Adrian, hapo nakataa!.......

ni kweli Adrian sio mzuri, lkn hio haiondoi ubovu wa mido yetu going foward, na kuchoka kwa washambuliaji wetu!

kumbuka kabla ya mapumziko yale ya winter tulikua vizuri sana, baada ya mapumziko balaa likaanza..... kiwango kilikua kibovu timu nzima na sio Adrian pekee
 
Ndo muwataje hao magolikipa ambao mnadhani watafaa kuwa back up na muje na statistics za performance zao huko walipo
Kama kuchangia Mafanikio ndiyo Certificate ya kuto kuondolewa kwenye Timu basi tusisajili wa tusiuze tena Wachezaji Wetu kwani Wote wamechangia Mafanikio.
Kwanza tulinde heshima zao za kutupa Mafanikio, tusubiri mpaka Wastaafu Wote kwa hiari yao ndiyo tusajili.

Enewey! Backup ya Goalkeeper sio kwamba Ukamchukue De Gea au Oblak, wapo Makipa Wazuri tu ambao ni upgrade ya Adrian unaweza kuwa nao kama backup! Nadhani hujawahi kumuona yule Kipa namba 2 ya Arssenal anavoweza vizuri tu kuziba pengo la Leno.
Adrian sio Upgrade ya Karius, ni same person mwenye different bodies tu.
 
Hiyo looser mentality ni mtizamo wako. Mimi nilichosema Adrian as a back up keeper nadhani kwa msimu ulioisha amejitahidi mimi siwezi mlaumu kwa baadhi ya errors alizofanya kwenye big games.
Hizi ndiyo loser Mentality zinzotokana na Small Team Mentality.

Ni sawa na Wale wanaohisi tukipewa Pulisic na Origi basi tuchukue Origi kwasababu tu Origi katupa Champion League.

Kwahiyo wanaosema tunue Centre Back pia nao wapo makosani kwasababu Matic na Lovren wamechangia kutupa CL na EPL?

At first place lazima tukubali kuwa Wachezaji hawatupi makombe kwa hisani wala kwasababu ya huruma zao! Ile ni Ajira yao Timu imewalipa kwa kazi ile ya kutuletea makombe.

So, usiongelee kama kwamba Adrian ametufanyia huruma ya kutupa Kombe.

Ni ajambo la ajabu kukaa na mchezaji mbovu kwasababu tu alitupa kombe! Mwaka 2005 Jerzy Dudek alipangua Mikwaju ya Penalty akatupa CL lakini ulipomaliza Msimu tu wa 2005 aliuzwa akanunuliwa Pepe Reina bila ya kuji kuwa alitupa CL kwani ile haikuwa hisani bali alifanya Wajibu wake wa kuajiriwa.
 
Error ni error tu mzee baba awe amefanya Adrian, Allison, Lovren au Dyik na ikai cost team kwa namna yoyote inahesabika kuwa ni error. Na errors are part of mchezo pia
Kuna Error na Blunder

VVD, Gomez, TAA, ROBBO na ALISSON hawa uwanjani wanafanya ERRORS (Makosa ya bahati mbaya).

ADRIAN na LOVREN hawa wanafanya BLUNDERS (Makosa ya uzembe kwasababu ya uwezo wao Mdogo).

Mchezaji mwenye Consistency nzuri kama VVD au Alisson hata ajifunge waziwazi huwezi kumlaumu bali tunasema ni bahati mbaya kutokana ratio yake ya mistake leading to goal.

Lakini mchezaji kama Lovren na Adrian hawa ni Accident waiting to happen huwa kukosea kwao sio bahati mbaya bali ni jambo la kawaida Muda wowote.
 
Hiyo looser mentality ni mtizamo wako. Mimi nilichosema Adrian as a back up keeper nadhani kwa msimu ulioisha amejitahidi mimi siwezi mlaumu kwa baadhi ya errors alizofanya kwenye big games.
Itoshe kusema Adrian ni garasa lakini sina shida nae maana najua Allison hatoumia huu msimu
Shida yangu ipo kwa Origi natamani aondoke muda umetosha
 
kwangu mimi makosa ya Adrian ni ya kawaida mana hata Alison hufanya,..... last season kafanya 5 kwenye ligi!......

foward yetu imechoka, mido haitoi magoli ya kutosha, haina ubunifu, hayo ndio mambo ya kuangalia..........
Unachopaswa kufahamu kila mchezaji hufanya makosa ila pia tunaangalia na rate ya makosa kwa kila gemu na pia mchezaji anaisadiaje timu ktk mechi muhimu. Forward yetu mpaka dakika ya 95 ilifunga goli 2 and was enough to make us qualify next stage, Becker conceded 3 goals at camp nou and got screen sheet at anfield so unataka kunambia barca wanafoward mbovu? No Becker alijua hii gemu ni muhimu kuruhusu goli hata moja ni hatari, utakumbuka barca walihitaji goli moja tu ili wafuzu na wangeli-score yale magoli 4 we scored yasingelikuwa na maana kabisa. Kama uliona vizuri coutinho alipeleka kishutu pembeni kisicho na nguvu lkn kilikuwa na madhara makubwa mno, Becker alikuwa mbali lkn alikunjua utadhani kaumbwa kwa elastic material mpaka akauziia that ball kuzama nyavuni, hapa ndo tunatoa credit kwa wachezaji wanaokuwa serious ktk gemu muhimu kama hizo.
 
Sasa wewe si ulisema kuna makipa wengi wazuri ambao wanafaa kuwa mbadala wa Adrian
Kama Pope wa Burnley liver ilimhitaji akakataa ni nani sasa atakubali kuja kuwa backup zaidi ya kusubiri kipa aliyekosa timu au kumrudisha karius?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom