Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1597447969241.png
 
Kuna mtu bado anamashaka na thiago alcantara kuhusu uwezo wake, au bado tunaangalia fedha yake kubwa.

Hawakosi sababu kwa jambo lolote linalohatarisha nafasi ya Hendo au Front 3 yetu.
Lakini ukitaja Mabeki wetu (isipokuwa VVD) tu basi waliobakia wako tayari tusajili beki mwengine ili tuhutarishe nafasi zao.
 
Kabisa king watasema Corona imeharibu utaratibu wote lakini timu kama Bayern yenyewe ndo kwanza ina mleta mtu kama sane ilikuongeza creativity, sisi tunaendelea kujivunia front three na kina Henderson na wiljnadum na kina origi unakutana na timu iliyojipanga vizuri unapigwa 8 halafu ndio unakumbuka kusajili sasa. Case study kipindi cha preseason tumecheza na katimu flan hivi bado ya karius kufungwa goli la uzembe kabisa ndio wakatoa hela kumleta Allison.
Hawakosi sababu kwa jambo lolote linalohatarisha nafasi ya Hendo au Front 3 yetu.
Lakini ukitaja Mabeki wetu (isipokuwa VVD) tu basi waliobakia wako tayari tusajili beki mwengine ili tuhutarishe nafasi zao.
 
Baada ya sisi kutolewa na ATM kuna mtu nilimuambia Bavarians tayari wamechukua wanasubiri tu kukabidhiwa akanipinga kwamba Messi na Guerdiola wamelipania sana nahisi hakunielewa kipindi kile sasa anaanza kunielewa vizuri kesho asubuhi kabla ya yote inabidi nimpitie kazini ili kumkumbusha
Bado mapema sana mkuu karata yangu nampa pep aise
 
T.Alcantara... bado kuna hoja ya bei?
Hope tupate AMF mwenye consistency mmoja, CB senior mmoja, na ST mmoja.
Tumalizane na usajili.
 
Kuna mtu bado anamashaka na thiago alcantara kuhusu uwezo wake, au bado tunaangalia fedha yake kubwa.
£27 kwa liver ni hela ya nyanya nashangaa kuna Kops wanaionea uchungu utazani wanachangishwa kumnunua, wanasahau liver tukielekea kuwa midtable club tulinunua magarasa mia kwa zaidi ya £ 30 kila garasa!
 
huyu President wa barça sijui kwanini hajajiondoa mpk sasa, amekua akifanya usajili wa kipuuzi sana huyu mzee
 
Ngoja tuone labda hii performance anayoionesha kwenye hii champions League inaweza kuwashawishi kumaliza biashara mapema.
£27 kwa liver ni hela ya nyanya nashangaa kuna Kops wanaionea uchungu utazani wanachangishwa kumnunua, wanasahau liver tukielekea kuwa midtable club tulinunua magarasa mia kwa zaidi ya £ 30 kila garasa!
 
ngoja na sisi tuendelee kusema front 3 isiguswe, barça yamewakuta kwa sababu ya kuendekeza huu ujinga wa flani na flani wasiguswe!

hendo,gini,firmino wamechoka, zije damu mpya vinginevyo tutaendelea kumsingizia Adrian wakati timu overall ilikua mbovu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom