Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha kumbe wewe Pep humjui that man mafanikio yamemlevya he see himself as the best of the best top top gaffer na his pride is his problem..

Unless kuwe na clause ya kumshusha mshahara nk asiposhinda UCL misimu yote aliyokaa Manchester City basi bado yupooo sanaaaa... Ila sioni akipewa mkataba mpya labda Mansour akose mbadala design kama ya Klopp hahaha dreamer...

YNWA
ila mwarabu kampa kila kitu anachotaka, yani kamwaga pesa kama kichaa lkn wapi........Pep sijui atasemaje leo

hili kombe acha tu, mrusi pale chelsea alisota miaka karibu 10 ndio akapata nae kwa style ya kupaki contena......
 
kwakweli mimi nimefurahi sana, niliumia sana chelsea waliposhinda hili kombe.... hizi timu zinazomwaga hela kama vichaa natamani ziendelee kulisikia redioni
Hahaha ile ya Chelsea hua inatokea Mkuu japo nadra mnoooo.....

Pesa sio kila kitu kwenye mpira at least hilo mpaka sasa washalijua...

Mansour wa Ethad is worth at leasr £20b na familia yake they are worth £1 trillion haha ila mpaka sasa hili kombe linampiga chenga balaaa 🤔🤔😂😂😂😂

YNWA
 
ila mwarabu kampa kila kitu anachotaka, yani kamwaga pesa kama kichaa lkn wapi........Pep sijui atasemaje leo

hili kombe acha tu, mrusi pale chelsea alisota miaka karibu 10 ndio akapata nae kwa style ya kupaki contena......
😂😂😂😂😂Unamtafuta Ollachuga Oc wewe si bure...

YNWA
 
I know the difference between errors and blunder but so far huwezi tu kusema errors ni for certain players na wengine wakifanya tuite blunders both may happen to all players.

Ninapoitazama comment yangu na ulichojibu wewe mpaka hapo napigwa na butwaa!

learn to differentiate between error and blunder

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg
 
Man city level zao ni micky mouse cups
Maskini Sterling alisema anakwenda kushinda makombe makubwaaa sasa anakwama wapi kweli kukosa sitter kama ile seriously...

Sterling is also cursed guys...

My weekend just got better..

Msimu huu Manchester City wametoka na vi mickey cup viwili tu Carabao na Community Shield hahahaha...

YNWA
 
PEP ni Timu 3 tu Duniani alizokuwa na uwezo wa Kushinda UCL.

1) Barcelona iliyokuwa na Messi yule wa Zamani aliyekuwa akifunga Magoli 50+ kwa Msimu.
Huyu Messi wa sasa asiyefikisha hata magoli 30 hawezi shinda hata Carabao.

2) Iliyokuwa Real Madrid ya Ronaldo

3) Liverpool

Kwenye Real & Barcelona PEP ameshinda CL na wala si kwa ubora na mbinu zake bali ni kwa ubora wa Ronaldo & Messi.

Kwenye Liverpool angeshinda UCL si kwa ubora na mbinu zake bali ni kwasababu UCL ipo ndani ya DNA ya Liverpool ambayo kocha yoyote akitulia ni rahisi kuifikia kama alivyofanya BENITEZ na kikosi cha kawaida sana cha 2005 kilichowatoa Magwiji wa Bayern na AC Milan, na Chelsea bora kabisa.

Lakini kwa Timu nyengine zilizobakia PEP hawezi kushinda CL hata umpe £1B ya usajili.

Kwa Man City hii Klopp angelikwisha shinda CL 3 mpaka muda huu lakini PEP anaishia kuwa Semi Finalist kama alivyokuwa kwenye Bayern bora kabisa.
 
Man city level zao ni micky mouse cups
😂😂😂😂😂😂😂Pep alikuja na bwebwe kama zote na usajili pesa za ndio kila aki point mchezaji huyoo analetwa...

Yaaani jana kavurugwo mpaka basi kama vipi PSG wamchukue tu sioni akileta UCL pale Ethad..

Creative players wake ni Bernado, Silver, Foden, Mahrez wote jana walianzia benchi lool choice has consequences na jana kama hakupata somo then this man pride is his failure..

Bookies nao wamechemka maana Barcelona na Manchester City walikua favourites kushinda hili taji..

YNWA
 
Uefa kustruggle kawaid Liverpool nae kutok 2005 had 2019 miaka mingi pia same to man untd tngu alichukue kashasahau
ila mwarabu kampa kila kitu anachotaka, yani kamwaga pesa kama kichaa lkn wapi........Pep sijui atasemaje leo

hili kombe acha tu, mrusi pale chelsea alisota miaka karibu 10 ndio akapata nae kwa style ya kupaki contena......
 
Uefa kustruggle kawaid Liverpool nae kutok 2005 had 2019 miaka mingi pia same to man untd tngu alichukue kashasahau
liverpool kikosi kilikua kibovu mzee, kumbuka RB kaingia final mara mbili, hizo semi ndio usiseme kaingia sijui mara 4.......

kwa kifupi Liverpool ni wafalme wa CL kama ilivyo madrid na AC Milan........

second class ndio wapo Barcelona, Ajax, Bayern.......

third class ndio kina utd, juventus na wengineo....

hizi psg, city, hazina tofauti na kina wolves,
 
Mmmmmmh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom