Tumeuza Balotelli, Tumeuza Alhaj Diof, Tumeuza Bellamy, Tumeuza Anelka (Kama uliwahi kusikia alikuwa Mchezaji wa Liverpool), Tumeuza Sinama Pongole, Tumeuza Voronin, Tumeuza Lambert wote hao ni Wachezaji wakubwa kuliko hao uliowataja wewe.



Orodha ni ndefu,


psg&man city yan sikutaman hata wafike nusu....... nataman uefa wafanye yao hizi timu zisibebe kombe!
Orodha ni ndefu,
Michael Owen
Djibil Cisse
Milan Baros
Ditmar Hamman
Maestro Mommo Sissoko
John Anne Riise 'Carlos wa Europe'
Javier Marscherano
Xabi Alonso
Hernan Crespo
![]()
Wewe ulitaka kuku zako ndio zifike nusupsg&man city yan sikutaman hata wafike nusu....... nataman uefa wafanye yao hizi timu zisibebe kombe!





Wenzio tumeshaiva sasa sio tena daraja la wachezaji kuja kuonekana ili wapate nafasi ya kwenda kwingine.. Kwa sasa wanakuja kuchukua makombe makubwa.. Na ukiona aidha anaodoka ama kuuzwa sasa ujue Klopp hamhitaji tena ama anakwenda kutafuta challenge mpya..Mpo sawa kwenye mauzo, nazungumzia wachezaji waliotoka Chelsea na kwenda klab zingine ambapo hadi leo wanakimbiza uko kwenye izo club, je mnalingana na sisi? Hii inaonesha clab ya Chelsea inatoa vichwa vikali ila ndo ivyo tunakosa namna ya kuwatumia tu ..ivyo wanaondoka..
#CFC![]()
hahahhaaaa sijui kwanini sizipendi hizo timu mbili aiseeeMuhimu ushabiki tu
hapana mkuu basi tu sizipendi timu za waarabu hizi, sawa na nilivyochukia chelsea kuchukua uefaWewe ulitaka kuku zako ndio zifike nusu![]()

Watatoana kwenye matuta hakiyananiBarcelona ipi itakayofungwa na Bayern? Kama ni hii ninayoijua mimi ya Catalunia basi hata wacheze wanne tu hawawezi kufungwa na Bayern
Kiukweli natamani kombe lirudi kwa Malkia kwenye Ligi inayosisimua zaidpsg&man city yan sikutaman hata wafike nusu....... nataman uefa wafanye yao hizi timu zisibebe kombe!
HahaaaaSasa mchezaji tushamuuza sisi inatuhusu kukimbiza kwake? Hiyo ni juu yake na waliomnunua sisi haituhusu
Ings, AspasKwa bei mumetuzid sikatai, nazungumzia ni wachezaji mumeuza ambao hadi sasa wanakimbiza? Ukimwondoa Suarez na Sterling na kwa mbali Mario Ballotel nani mwingine..
Ukija kwa Chelsea karibu wote tuliouza waliendelea na wanaendelea kukimbiza hadi leo ..hii ndo maan yangu..
Sisi ni club bora sana sema tu namna timu jnavyoendeshwa na sera zake kuhusu wachezaji ndo tunachofeli..
#CFC![]()
Doooh Faby avae namba 16 basi dahBREAKING: Liverpool have agreed a fee of £27m for Thiago Alcantara.
Thiago details:
Taking £40k wage cut down to £180k p/week.
4 year deal.
Bonuses in contract.
Announcement whenever Bayern finish UCL.
He will wear the no. 6 shirt.
All is done.
#LFC https://t.co/7s7lQySGkm
Man city anatakiwa abaki na njaaKiukweli natamani kombe lirudi kwa Malkia kwenye Ligi inayosisimua zaid



wasije anza kujifanya big boys na wenyewe!!!3-1 dk 27 mkuu,........ hapa ngoja nilale tu hii game overBarcelona ipi itakayofungwa na Bayern? Kama ni hii ninayoijua mimi ya Catalunia basi hata wacheze wanne tu hawawezi kufungwa na Bayern