Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Bwana wee kwanza kwa taarifa zilizopo ni kwamba Klopp na jopo lake mpaka sasa endapo watamfuata basi iwe ni £20m kurudi chini na vile vile mpaka sasa kelele zote hizi zinatoka ujeremani pengine kambi ya Thiago huku Liverpool wapo kimyaa kabisa... Ndio maana utasikia hata PSG wanamtaka na sasa leo wanasema Pep anamhitaji na kutoa ofa nono na mshahara wa mkubwa kuliko sisi sasa unajiuliza lini alipewa ofa ama mshahara na Edwards lol...Ikiwa hivi ndo vigezo si bora wamlete Cantwell
Mpaka dirisha lifungwe tutaona na kusikia mengi..
YNWA

