Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Man City wasikutane na hawa mashetan wa german, wanapiga mpira balaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi liverpool mliwafunga vip hawa majin buyern munich
 
Man City wasikutane na hawa mashetan wa german, wanapiga mpira balaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi liverpool mliwafunga vip hawa majin buyern munich
mshindi wa hapa anakutana na mshindi wa city/lyon.........
 
London tumeongeza timu nyingine[emoji23][emoji23][emoji23] barcelona.
 
Baada ya sisi kutolewa na ATM kuna mtu nilimuambia Bavarians tayari wamechukua wanasubiri tu kukabidhiwa akanipinga kwamba Messi na Guerdiola wamelipania sana nahisi hakunielewa kipindi kile sasa anaanza kunielewa vizuri kesho asubuhi kabla ya yote inabidi nimpitie kazini ili kumkumbusha
 
Barcelona spent a record £142m spent for Coutinho only to allow Liverpool to sign Van Dijk and Alisson to knock them out the season after, and then loaning him out to score twice and assist to knock them out again. Not my club [emoji24][emoji24]
 
Adjustments.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom