Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama uliiona game ya PSG vizuri, Mbappe ni game changer, nina uhakika kama Mbappe atacheza kwa hata 80% tu ya kiwango chake, PSG wanaingia fainali.

Leizpig wataishia hapo. Bado kombe nawapa wakongwe, Barca au Bayern. Atakayepita leo.

Mkuu me nimeacha kukalili timu kubwa na kuangalia mpira,Leipzig na atm ungeulizwa ungesema atm ndio atakae pita lakini mambo yamekuwa tofauti.

Aliyekuwa man of the match kwenye match takwimu zake ziko vizuri inaonesha wako vizuri. Kwenye mpira ukimtegemea mtu mmoja tu huyo wakimzibiti biashara wanamaliza mapema kabisa maana kuna beki lao lile la kifaransa linaitwa “ dayot Oswald upamecano “kama vvd hilo jasiri muongozA njia.atamzibiti mbape.

Adjustments.jpg
 
View attachment 1536959

Nakuelewa mkuu, kitu kizuri kwenye mashindano haya timu yangu haimo, hivyo nayaangalia bila presha.

Ni kufurahia mpira. Kati ya timu ambazo ningetamani zichukue ni Man City, PSG na hiyo RB Leipzig.

Ila Pep atanifurahisha zaidi.
 
Mkuu hii ngumu ndogo aka the Rock kaongeza mkataba juzi tu..

Naamini release clause yake mpya itakua sio pungufu ya £100m maana ile ya awali ilikua £53m..

Pazuri ni kwamba ama miaka 21 hivyo bado muda upo in future kumpata especially aje kama kuchukua nafisi ya VVD in the future..

YNWA
Amesaini juzi had 2023 ,ila safari hii ana release clause ya €42m taarifa kutoka France , lakini kutoka Ujerumani(BILD) wanadai ana release clause ya €60m , na anaruhusiwa kuondoka 2021

Msimu uliopita alikuwa na release clause ya €100m , Arsenal tulipopeleka Bid ya €60m wakaikataa , na kumbania

Kwenye mkataba mpya Ana ahueni msimu ujao watu wakifika bei asepe

Bayern anamvizia sana , Sioni akibaki msimu ujao
 
Duu kumbe ndogo mlishamuona na kupeleka ofa 👍👍👍.....

Kwa umri wake na hiki kiwango chake ni dhahiri huyu pale hatakaa misimu miwili ijayo...

Kwa sasa kuna uhaba sana wa mabeki wa kati wazuri hivyo huyu itakua mnada aisee Pique na Ramos umri ndio umekwenda na VVD wetu nae anasonga, muda ukifika utaona jamaa watakavyokomaa bei..

Hawa RB wapo vizuri sana ku point wachezaji wa bei chee na kuwakuza kuja kupiga ela baadae..

YNWA
 
Serious Mkuu unataka kulinganisha mauzo ya hao wachezaji wenu na Liverpool walivyo smart kwenye biashara.. Willian hamuuzi kakataa kuongeza mkataba anaodoka bure huyo..
Tazama ndugu yangu..

Mkuu De Bruyne mliuza £18m,
Salah mkauza £15m,
Lukaku mkauza £28m,
Hazard mkauza £87m..
Jumla yote ni £148m..

Liverpool nao waliuza hivi
Torres £50m,
Sterling akauzwo £49m,
Surez akauzwo £65m,
Coutinho akauzwa £142m
jumla yote ni £306m

Kwa hao wachezaji wanne tu Liverpool walipata zaidi £158m kuliko nyinyi...

Hakika huyu Edwards wa Liverpool ni genius kwenye hii biashara..

Huyo Mariana wenu bado sanaaaa..

YNWA
Mpo sawa kwenye mauzo, nazungumzia wachezaji waliotoka Chelsea na kwenda klab zingine ambapo hadi leo wanakimbiza uko kwenye izo club, je mnalingana na sisi? Hii inaonesha clab ya Chelsea inatoa vichwa vikali ila ndo ivyo tunakosa namna ya kuwatumia tu ..ivyo wanaondoka..

#CFC
 
Mnauza kwa bei gani na sisi tunauza kwa bei gani? Ni mchezaji gani mliuza akafikia bei ya Philipe Coutinho?
Kwa bei mumetuzid sikatai, nazungumzia ni wachezaji mumeuza ambao hadi sasa wanakimbiza? Ukimwondoa Suarez na Sterling na kwa mbali Mario Ballotel nani mwingine..

Ukija kwa Chelsea karibu wote tuliouza waliendelea na wanaendelea kukimbiza hadi leo ..hii ndo maan yangu..

Sisi ni club bora sana sema tu namna timu jnavyoendeshwa na sera zake kuhusu wachezaji ndo tunachofeli..

Sasa mchezaji tushamuuza sisi inatuhusu kukimbiza kwake? Hiyo ni juu yake na waliomnunua sisi haituhusu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom