Mbona salah alikuwa ni 2nd choice.
Embu tulieni. Mtu kuwa 2nd choice sio Kwamba ni kilaza.
Liverpool Wana hela ila sio kutumia hela kama kichaa kama City wanavyofanya wa nanunua wabeki KIBAO mwisho wanawatema kwa hasara.
Huwezi toa £60 kwa werner halafu aje kuanzia benchi. Huo ni UKICHAA na Yeye alitaka kuanzia.
Lakini wote tu najua wale front 3 msimu ujao wanaanza kama walivyo. Mara chache Sana watarotate. Sasa unadhani werner atakubali a subiri tu firminho atoke jasho ndo aingie.na ndo maana AKAENDA Chelsea ambako Abraham haiwezi kuzuia KUCHEZA.
Back up ya Robertson ilikuwa lazima. Jamaa kacheza 3 seasons mfululizo so klopp a najua dogo anaweza kuumia akakaa majeruhi mda mrefu.
Mchezaji yoyote mumtakae akubali kukaa benchi tu kuwasubiri front 3 wachoke.
Huwezi kutoa hela tu ilimradi uonekane na wewe unanunua ni UKICHAA.
Matajiri wanafanya kazi kiueledi kabisa mpaka Sasa. Na wanaenda kwa machale so tulieni. Origi asipoondoka hakuna mtu atakuja pale. Shaqiri asipoondoka msitegemee usajiri.
Jones ndo ashapandishwa hivyo.
Mwaka jana tulinunua van da berg tu kwa buku jero na ubingwa tu kachukua. Wapinzani walitumia kiasi gani na walipata nn.
 
Ñzßñ. D. Zsx ,,,Zn. Zña. Zja j
 

Huna haja ya kunifokea hata ungeniquote kiupole ningekuelewa tu.

Eneywey! Nani aliyekuhakikishia kuwa Werner akija Liverpool lazima aanzie Benchi? Uhakika huo umeutoa wapi? Vigezo gani vya kiufundi ulivyotumia vya kusema ataanzia Benchi?

Mimi binafsi sijui kama Werner angesainiwa angeanza kikosi cha kwanza au angelianzia Benchi, Lakini wewe mjuzi wa soccer umeshahakikisha hasa kuwa Werner asingepata namba Liverpool!

Fine! Kumbe wewe ni wale kati ya Watu ambao mumeaminishwa na kuamini kuwa hakuna mchezaji duniani anayeweza kupata namba mbele ya Front 3.
Hata kwa Auba tuliambiwa kuwa Asingepata namba mbele ya Firmino lakini anayejua mpira yoyote anakiona Auba anachokifanya kule The gunners.
Na huyu Werner Time will tell l.

Huyo Firmino unayemsifia kwa msimu uliopita labda tumbebe tu kwasababu Mchezaji wetu lakini alikuwa poor! Kwasasa hafakii uwezo wa Werner kwa chochote kile.

Msimu uliomalizika waliokuwa kwenye kiwango kati ya Front 3 wetu ni Mane na Salah tu.
 

Kwa trend ya misimu mitatu mfululizo timu yetu siyo ya kusajili hivi vitoto vya future to me am just tired na hizi future plans

We're already out lakini timu inajilazimisha kurudi in the tunnel tuendelee kujisisitiza there is a light end of a tunnel!

Hili dirisha likiisha bila stable sign za area muhimu nitawalaumu sana FSG maisha yote , at least tusikie signs ambazo mtu unasema ewaaa this is a player we need
 
Ngoja tuone

Ila hili dirisha likifungea bila stable sign(s) FSG wanalawama zangu nyingi Sana
 
Sepp atakuja kuwa usajili wa Karne?
, well muda utasema maana kuanza kumjudge kwa sasa ni mapema!
 
mkuu mbona hiyo 'front 3' ishachoka tayar aisee, wanahitaji kupumzika atleast aongezwe mmoja pale!


kuhusu jones nadhan wanafanya betting pale, wakitegemea keita atarudi kama alivyomaliza, then nahisi klop anamtazama trent kama mido incase lolote likitokea!
 
Haya wanaume kazini tena leo mnakaribishwa wote by 10:00 pm mje muangalia pressing za hatari
 
Asikwambie Mtu kama kuna mshabiki wa Liverpool anataka Manure kila mwaka ashiriki UCL basi ni mimi huyo!

Manure akishiriki Uropa anaweza kulibeba kilaini Kombe Coz kule kuna Vitimu visivyoeleweka.

Lakini bora aje huku CL kwa Wanaume ambako atakalishwa kiulaini tu na kuishia kutoka kapa.
 
roho mbaya hii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…