Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Greenwoodza kina jlingz au sio mkuu?
Greenwoodza kina jlingz au sio mkuu?
anaitwa greenward dogoGreenwood
Huko kuchoka mnakuona nyie ila Klopp hajaona hilo na ndo maana wala haangaiki na hata akiamua Itakuwa ni kwa mtu atakayekubali kusubiri. Liver hawakukosa £60 kwa ajili ya werner but alijua tu Angekuwa na msimu mmoja mzima wa kusgua benchi pale.mkuu mbona hiyo 'front 3' ishachoka tayar aisee, wanahitaji kupumzika atleast aongezwe mmoja pale!
kuhusu jones nadhan wanafanya betting pale, wakitegemea keita atarudi kama alivyomaliza, then nahisi klop anamtazama trent kama mido incase lolote likitokea!