Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
That's correctSisi hatuna tatizo la lefta back bali tulikuwa na tatizo la backup ya left back, Na huyu tuliyemnunua ni left back! Hivyo FSG hapa wamenunua Backup player tu wa kumsaidia Robertson ndiyomana hata chaguo halisi la Klopp (Jamal Lewis) hawakulipa kipaombele.
Kwahiyo bado hatujasajili mchezaji wa kuanza.
Hapa FSG wametupiga changa la macho tu waonekane na wao wamesajili kutokana na kulalamikiwa na Mashabiki.
Hofu yangu hii back up ya huyu dogo ataleta vitu sahihi iwapi Robbo akiumia/kupumzishwa ama ndo tutajikuta tunasema bora Milner aingie ku-cover hapo

