Kama issue ni kuwa alifanyiwa scout kwa miaka 3 then why Jamal Lewis ambaye hajafanyiwa scaout hata msimu mmoja aliwekwa ahead of him? Klopp aliweka First Choice Jamal Lewis akitumia advantage ya Relegation but FSG refused to pay what Norwich walichokitaka! Then Klopp decided to go kwenye host Second choice.

So, Kufanya Scout kwa miaka 3 then Lewis akaekwa ahead of him means he failed to meet scout's demand, agree?

Nina mashaka kuwa kuna Mtu ndani ya Jiji la Liverpool anaact kama Haji Manara wa Ulaya kazi yake ni kucheza na akili za Washabiki wa Liverpool tu. Tunadanganywa!!!!!!!!!!!
Mbona salah alikuwa ni 2nd choice.
Embu tulieni. Mtu kuwa 2nd choice sio Kwamba ni kilaza.
Liverpool Wana hela ila sio kutumia hela kama kichaa kama City wanavyofanya wa nanunua wabeki KIBAO mwisho wanawatema kwa hasara.
Huwezi toa £60 kwa werner halafu aje kuanzia benchi. Huo ni UKICHAA na Yeye alitaka kuanzia.
Lakini wote tu najua wale front 3 msimu ujao wanaanza kama walivyo. Mara chache Sana watarotate. Sasa unadhani werner atakubali a subiri tu firminho atoke jasho ndo aingie.na ndo maana AKAENDA Chelsea ambako Abraham haiwezi kuzuia KUCHEZA.
Back up ya Robertson ilikuwa lazima. Jamaa kacheza 3 seasons mfululizo so klopp a najua dogo anaweza kuumia akakaa majeruhi mda mrefu.
Mchezaji yoyote mumtakae akubali kukaa benchi tu kuwasubiri front 3 wachoke.
Huwezi kutoa hela tu ilimradi uonekane na wewe unanunua ni UKICHAA.
Matajiri wanafanya kazi kiueledi kabisa mpaka Sasa. Na wanaenda kwa machale so tulieni. Origi asipoondoka hakuna mtu atakuja pale. Shaqiri asipoondoka msitegemee usajiri.
Jones ndo ashapandishwa hivyo.
Mwaka jana tulinunua van da berg tu kwa buku jero na ubingwa tu kachukua. Wapinzani walitumia kiasi gani na walipata nn.
 
Ñzßñ. D. Zsx ,,,Zn. Zña. Zja j
Well said kaka... Hilo la effect za corona alitaja kipindi fulani Klopp pindi Timo alivyokwenda Chelsea, alizungumza pia la kulipa mishahara maana ndogo kama sikosei alikua anadai £200,000/= kwa wiki sasa hio peke ingeleta instability kwenye timu maana moja ya nguzo kuu ya kujenga harmony kwenye timu ni kua mfumo wa mshahara rafiki means kua rewarded kutokana na kazi kazi nk...

Ukiangalia kwa umakini ni kama vile lazima tuuze ili tununue aisee ndio maana hakuna amsha amsha kama kwa wengine... Naona Wilson atakua wa pili kuuzwa na kwa bei ya £15m sio mbaya soko hili..hivyo muda wowote utaona Jamaal anatua..

Muda utasema ndugu tuwe na subira kwa Klopp anaweza hata asinunue huyu yaani..

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Mbona salah alikuwa ni 2nd choice.
Embu tulieni. Mtu kuwa 2nd choice sio Kwamba ni kilaza.
Liverpool Wana hela ila sio kutumia hela kama kichaa kama City wanavyofanya wa nanunua wabeki KIBAO mwisho wanawatema kwa hasara.
Huwezi toa £60 kwa werner halafu aje kuanzia benchi. Huo ni UKICHAA na Yeye alitaka kuanzia.
Lakini wote tu najua wale front 3 msimu ujao wanaanza kama walivyo. Mara chache Sana watarotate. Sasa unadhani werner atakubali a subiri tu firminho atoke jasho ndo aingie.na ndo maana AKAENDA Chelsea ambako Abraham haiwezi kuzuia KUCHEZA.
Back up ya Robertson ilikuwa lazima. Jamaa kacheza 3 seasons mfululizo so klopp a najua dogo anaweza kuumia akakaa majeruhi mda mrefu.
Mchezaji yoyote mumtakae akubali kukaa benchi tu kuwasubiri front 3 wachoke.
Huwezi kutoa hela tu ilimradi uonekane na wewe unanunua ni UKICHAA.
Matajiri wanafanya kazi kiueledi kabisa mpaka Sasa. Na wanaenda kwa machale so tulieni. Origi asipoondoka hakuna mtu atakuja pale. Shaqiri asipoondoka msitegemee usajiri.
Jones ndo ashapandishwa hivyo.
Mwaka jana tulinunua van da berg tu kwa buku jero na ubingwa tu kachukua. Wapinzani walitumia kiasi gani na walipata nn.

Huna haja ya kunifokea hata ungeniquote kiupole ningekuelewa tu.

Eneywey! Nani aliyekuhakikishia kuwa Werner akija Liverpool lazima aanzie Benchi? Uhakika huo umeutoa wapi? Vigezo gani vya kiufundi ulivyotumia vya kusema ataanzia Benchi?

Mimi binafsi sijui kama Werner angesainiwa angeanza kikosi cha kwanza au angelianzia Benchi, Lakini wewe mjuzi wa soccer umeshahakikisha hasa kuwa Werner asingepata namba Liverpool!

Fine! Kumbe wewe ni wale kati ya Watu ambao mumeaminishwa na kuamini kuwa hakuna mchezaji duniani anayeweza kupata namba mbele ya Front 3.
Hata kwa Auba tuliambiwa kuwa Asingepata namba mbele ya Firmino lakini anayejua mpira yoyote anakiona Auba anachokifanya kule The gunners.
Na huyu Werner Time will tell l.

Huyo Firmino unayemsifia kwa msimu uliopita labda tumbebe tu kwasababu Mchezaji wetu lakini alikuwa poor! Kwasasa hafakii uwezo wa Werner kwa chochote kile.

Msimu uliomalizika waliokuwa kwenye kiwango kati ya Front 3 wetu ni Mane na Salah tu.
 
Ukweli ni kwamba kuna Watu humu JF wanaangalia nani anapost ili wao waandike kinyume na yule aliyepost tu!

Mfano mdogo kabisa!
√ Klopp alimtaka Auba in and out lakini FSG hawakumsapoti kwa pesa.
√ Klopp alimtaka Goretzka lakini FSG hawakumsapoti.
√ Klopp alimtaka Pulisic lakini FSG hawakumsapoti.
√ Klopp alimtaka Coutinho lakini FSG hawakumsapoti
√ Klopp alimtaka Werner lakini FSG hawakumsapoti.
√ Klopp anamtaka Kai lakini FSG wanagoma kumsapoti.

Mwisho wa siku anatokea Anasema Klopp hakuwataka hao eti hawaendani na mfumo wake.

Ukweli ni kwamba FSG sasahivi wanaangalia wachezaji wale ambao ni Cheap ndiyo wanawasajili that's why wamekimbilia kutuletea Minamino, Liverpool haikuwa na uhitaji wa Minamino tuache kujidanganya.
Huyu wa sasahivi nawezasema Fine coz kasajiliwa kama backup ya Robbo! Lakini Je ndiyo priority area kwa sasa?
Hivi hatujifunzi kwa walichotufanyia ATM nje ndani?

Watu watafahamu baadae! Tunarudi zama za kina Downing na Lambert.

Kwa trend ya misimu mitatu mfululizo timu yetu siyo ya kusajili hivi vitoto vya future to me am just tired na hizi future plans

We're already out lakini timu inajilazimisha kurudi in the tunnel tuendelee kujisisitiza there is a light end of a tunnel!

Hili dirisha likiisha bila stable sign za area muhimu nitawalaumu sana FSG maisha yote , at least tusikie signs ambazo mtu unasema ewaaa this is a player we need
 
Bwana wee unajua jambo likishafanyika utasikia mengi.. Inasemekana Liverpool huyu ndogo tumem scout kwa miaka 3 mpaka kuja kumnunua wamejiridhisha anafaa kuja kwetu...

Wanadai pia ndogo anacheza vyema kwenye mifumo tofauti yaani 4 4 2 ama 3 5 2 ama 4 3 3 nk hivyo eti hatujakurupuka..

Muda utasema aisee..

On a bright side ni kwamba soko la jezi zetu Ugiriki litaongezeka na mashabiki pia wataongezeka kwani hua wanadhamini sana wachezaji wao wanaojiunga ligi kuu EPL..

YNWA
Ngoja tuone

Ila hili dirisha likifungea bila stable sign(s) FSG wanalawama zangu nyingi Sana
 
Mbadala wa VVD mhmh itakua Fabinho hawa watoto hawaaminiki kabisa japo kuna mahala nilisoma eti huyo Sepp atakuja kua usajili wa karne haha well muda utasema..

Sasa sijui Grujic atabaki ku cover defence maana mbadala like for like wa Fabinho ni Chirvela ambae anaodoka mazima kumtegemea super Hendo hapo tumepoteana mazima..

YNWA
Sepp atakuja kuwa usajili wa Karne?, well muda utasema maana kuanza kumjudge kwa sasa ni mapema!
 
Mbona salah alikuwa ni 2nd choice.
Embu tulieni. Mtu kuwa 2nd choice sio Kwamba ni kilaza.
Liverpool Wana hela ila sio kutumia hela kama kichaa kama City wanavyofanya wa nanunua wabeki KIBAO mwisho wanawatema kwa hasara.
Huwezi toa £60 kwa werner halafu aje kuanzia benchi. Huo ni UKICHAA na Yeye alitaka kuanzia.
Lakini wote tu najua wale front 3 msimu ujao wanaanza kama walivyo. Mara chache Sana watarotate. Sasa unadhani werner atakubali a subiri tu firminho atoke jasho ndo aingie.na ndo maana AKAENDA Chelsea ambako Abraham haiwezi kuzuia KUCHEZA.
Back up ya Robertson ilikuwa lazima. Jamaa kacheza 3 seasons mfululizo so klopp a najua dogo anaweza kuumia akakaa majeruhi mda mrefu.
Mchezaji yoyote mumtakae akubali kukaa benchi tu kuwasubiri front 3 wachoke.
Huwezi kutoa hela tu ilimradi uonekane na wewe unanunua ni UKICHAA.
Matajiri wanafanya kazi kiueledi kabisa mpaka Sasa. Na wanaenda kwa machale so tulieni. Origi asipoondoka hakuna mtu atakuja pale. Shaqiri asipoondoka msitegemee usajiri.
Jones ndo ashapandishwa hivyo.
Mwaka jana tulinunua van da berg tu kwa buku jero na ubingwa tu kachukua. Wapinzani walitumia kiasi gani na walipata nn.
mkuu mbona hiyo 'front 3' ishachoka tayar aisee, wanahitaji kupumzika atleast aongezwe mmoja pale!

kuhusu jones nadhan wanafanya betting pale, wakitegemea keita atarudi kama alivyomaliza, then nahisi klop anamtazama trent kama mido incase lolote likitokea!
 
Haya wanaume kazini tena leo mnakaribishwa wote by 10:00 pm mje muangalia pressing za hatari
 
Asikwambie Mtu kama kuna mshabiki wa Liverpool anataka Manure kila mwaka ashiriki UCL basi ni mimi huyo!

Manure akishiriki Uropa anaweza kulibeba kilaini Kombe Coz kule kuna Vitimu visivyoeleweka.

Lakini bora aje huku CL kwa Wanaume ambako atakalishwa kiulaini tu na kuishia kutoka kapa.
 
roho mbaya hii mkuu
 
Back
Top Bottom