Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu ndogo kafanana sana na mchezaji wa zamani wa the Gunners Gabriel Paulista..

Hopefully uwanjani output hatakua kama yeye..

YNWA

Kafanana Nate mkuu kimtindo

Adjustments.jpg
 
Huyu dogo ni hatari sana wakuu, isitoshe ana Assist 11 katika mashindano yote.

Jamal lewis kiukweli sikuwa namuelewa kabisa, hata assist moja hana. Muhimu sasa usajili huu tuhamie kwenye attacking midfielder wa kueleweka hapa huwa tunastruggle sana. CB wa kupartner na VVD hapa naprefer Mbrazil mwenye roho mbaya Diego Carlos au Mualjeria Aisa Mandi.
 
Kuna taarifa ilionesha hatuwahitaji. Mimi pia naprefer tumpate mmoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom