Rejea kusoma tena post uliyoniquote
Liva ikicheza na Henderson akiwepo timu inakua ngumu kufungwa.

Kiungo anayesaidia ulinzi hawezi kua AMF. Yet wewe unasema jamaa ni AMF.

Swali nililokuuliza ni kwamba kama viungo wa Liva wangebeba duties unazosema formation ingenyambuliwa ingekuaje, haujalijibu.

Liva inategemea attacking fullback wafanye contacts na wingers ili kushinda. These fullbacks wakiwa wamebanwa ndiyo Liva unaona inatremble.

Nasema kwa mara nyingine Liva anacheza 4 3 3 holding. Ambayo Fabinho anakua DMF na Gini na Henderson wanakua CMF. Kumlinganisha assisst na magoli na De Bruyne ambaye ni AMF ni kumuonea.
 
Attachments

  • Screenshot_20200807-193700.png
    Screenshot_20200807-193700.png
    276.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200807-193648.png
    Screenshot_20200807-193648.png
    200.9 KB · Views: 1
Kati ya Torres na Suarez yupi alikuwa mkali zaidi Anfield?
Dah mkuu unatutaka nini mbona unatuweka majaribuni.
Mimi kama mimi sipendi usaliti ama msaliti hata kama anafanya vizuri.
Itoshe kukuambia kwamba ni Suarez
 
Kati ya Torres na Suarez yupi alikuwa mkali zaidi Anfield?

The statistics show that Fernando Torres in his prime in a Liverpool shirt was a much better finisher than Suarez for Liverpool, however, the overall influence Suarez had on the game exceeds the grip that Torres during his time at Liverpool.

Suarez is a much more involved player, a more creative and dynamic forward than Fernando Torres, but is that something of greater importance than finishing?

Torres was blessed to play with good players around him especially Steve on his peak ..

Surez had to wait for Daniel Sturidge to get a proper partner..

That said i will go with Surez..

YNWA
 
Hivi huyu jamaa (Torres) yuko wapi siku hizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liva ikicheza na Henderson akiwepo timu inakua ngumu kufungwa.

Kiungo anayesaidia ulinzi hawezi kua AMF. Yet wewe unasema jamaa ni AMF.

Swali nililokuuliza ni kwamba kama viungo wa Liva wangebeba duties unazosema formation ingenyambuliwa ingekuaje, haujalijibu.

Liva inategemea attacking fullback wafanye contacts na wingers ili kushinda. These fullbacks wakiwa wamebanwa ndiyo Liva unaona inatremble.

Nasema kwa mara nyingine Liva anacheza 4 3 3 holding. Ambayo Fabinho anakua DMF na Gini na Henderson wanakua CMF. Kumlinganisha assisst na magoli na De Bruyne ambaye ni AMF ni kumuonea.

Ebwanae Yaishe! Sikuhizi kila mwenye Akaunti JF na Twitter ni mchambuzi coz its free kugoogle ukakuta misamiati ya DM, CM, CF na AM.
 
Kati ya Torres na Suarez yupi alikuwa mkali zaidi Anfield?
mkuu torres alizungukwa na watu waliokua wanatoa services za kutosha, he was very deadly mbele ya goli, lkn lazima ukumbuke alizungukwa na the likes of stev, xabi ambao walikua wanamlisha sana!

suarez on the other hand alikua na kipaji binafsi, street fighter, mfungaji, hapati majeruhi yule dubu, mtengenezaji dah yan alikua fundi hasa!.....

kwahiyo mimi nampick suarez as the best, japo torres nae alikua mtamu sana hasa ile 2008-9
 
Back
Top Bottom