Oh sawa

Huyu jama na Steven Gerrard walinifanya niipende hii timu.
I love them much
Hio combination ya Steve na Nando ilikua hot 🔥 🔥 🔥 🔥 too bad enzi hizo hatukua na uwezo wa kujenga kikosi, tulikua kama feeder club ya wengine aisee mchezaji akishaiva huyooo kwa wengine..

Wamiliki pia walituvuruga mno hawakua na umoja na bora walivurugana wakatokea hawa FSG japo nao mwanzoni walianza kwa kusuasua lakini baadae walikaa sawa...

Kwa sasa mchezaji anajiunga nasi kushinda makombe na sio kushiriki tu..

Thank you FSG, thank you Klopp..

YNWA
 
Hio combination ya Steve na Nando ilikua hot too bad enzi hizo hatukua na uwezo wa kujenga kikosi, tulikua kama feeder club ya wengine aisee mchezaji akishaiva huyooo kwa wengine..

Wamiliki pia walituvuruga mno hawakua na umoja na bora walivurugana wakatokea hawa FSG japo nao mwanzoni walianza kwa kusuasua lakini baadae walikaa sawa...

Kwa sasa mchezaji anajiunga nasi kushinda makombe na sio kushiriki tu..

Thank you FSG, thank you Klopp..

YNWA
 
Sisi tunaenda iwakilisha vyema England kwenye UEFA usiku wa leo..

Kipigo cha mbwa koko kitatembezwa kwa wale mbwa wa ujerumani adi washangae ..

Miaka kadhaa nyuma pale Allianz..tulibeba uefa wakiwa wanaona..

Sasa tunakwenda kupindua meza kibabe

Amini Kwamba
#CFC
 
Alienda akiwa super star na wener nae tayali ni supa star?
Nimekusoma Mkuu bila shaka Torres anatoka kwetu alishaiva kabisa..

Ndogo hizo level za Nando hajafika aisee..

Ki ufupi Timo ni super star in the making wakati kama ulivyosema Nando alishakua super star wakati anatoka kwetu..

Ilaaniwe Corona imebadili kabisa upepo wetu kweny hili dirisha la usajili huyu alikua aje kwetu mazima...

hivi kilichozuia kununua ni ishu ya pesa au uhakika wa namba?...... yan kwenye ishu ya timo naona mauzauza tu
 
hivi kilichozuia kununua ni ishu ya pesa au uhakika wa namba?...... yan kwenye ishu ya timo naona mauzauza tu
Kuna vikauli fulani fulani hivi vya Klopp ni kama ishu ni pesa ndugu eti anadai ishu sio kusajili tu mbali kuna kulipa mishahara nk..

Hili la namba Klopp hua analisema tangu zamani kama eti aki point mchezaji la kwanza hua anauliza je nikija Liverpool nitakua nacheza kikosi cha kwanza bla bla, anasema mchezaji kama Timo haji kusugua benchi.. Nionavyo mimi mchezaji uhakika wa namba ni kazi yake uwanjani case study Fabinho..

Kwangu nadhani pesa/namba ni sababu isiyo na mashiko mbali kuahirishwa kwa Afcon kumemmfanya atulie kwa vile sasa Salah, Mane, Keita watakuwepo msimu mzima..

Kingine uhakika wa Mane kwenda Real Madrid ama PSG ni mdogo mno kutokana na madhara ya covid labda yeye alazamishe kuodoka na kwa bei ambayo ni ngumu kipindi hiki, bei yake ilikua £150m.. Ukumbuke kambi ya Mane walikua ni kama ndogo anahitaji changamoto mpya baada ya kushinda mataji yote makubwa na sisi..

Kingine muda utasema aisee Klopp na Edwards sio watu wa maneno mengi sokoni wao hufanya mambo yao kimya kimya sana...

Zipo taarifa tulipeleka ofa kwa Victor Osimhen lakini Napoli walituwai na ndogo bei ni almost sawa na Timo kwa hio tuwe na subira mpaka dirisha lifungwe ndio tutajua nini hawa jamaa wamepanga..

YNWA
 
Back
Top Bottom