Mimi nachoona, matajiri wamekaza kutoa mpunga, na inabidi Klopp awape backup ya visingizio.
Timu imefika Final UEFA 2018, imechukua UEFA 2019 (hapo ni almost £160m zimetengenezwa), imekuwa moja ya top earners EPL kwa 2018, 2019 now 2020.
Ukiangalia net spend (player purchase vs sales) tuko below £100m, kwa nini tusisajili?
Tulifurahi sana kupata dili la Nike na tukawa tunashangilia sana kwamba it is time wachezaji wakubwa watakuja kwa sababu tutakuwa na uwezo wa kuwalipa.
So, what is the difference na NB kama tunaogopa kuchukua mchezaji kisa mshahara?
Jamani, tusije kufanya kama alichofanya Wenger na invincibles yake.