Nyie kuku wa kisasa tunajua kabisa huu ndo msimu wa mwisho kutufunga.
Angalieni tunaenda kuwafanya nini ngao ya jamii..
#CFC![]()
kAMA KAWAIDABado tunashaka na uwezo wa Henderson?
Bado tunashaka na uwezo wa Henderson?
KDB 😂😂😂
• Goals 13
• Assists 21
View attachment 1515687
Hendo:
• Goals 4
• Assist 4
Nawashangaa Watu wanaomsifia KDB, huyu Liverpool labda aje alime nyasi lakini kwa namba hawezi pata 😂😂
Mwamba kabisa

BissakaNaona utaifa umetumika kama kigezo kupata tuzo hiyo
Bissaka
Raheem
James
Marcus
Trent
Hawa wote ni raia wa wapi mkuu?
Dalili za kutuacha hizi