Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe unaongelea mechi moja moja, sisi tunaongelea ligi nzima kwa ujumla.

Kufungwa na Watford, kudroo na Burnley hiyo tunachukulia kama ajali na inatokea mara chache sana kwa mabingwa.

Plan ni kuendelea na msimamo huo huo, wa tufungwe bahati mbaya, na iwe chache kadri iwezekanavyo. Kuna timu ambazo zimezoea kufungwa mpaka zikishinda zinajishangaa (Arsenal akiwemo).
Hizi ni jeuri za kipato cha masikini tu lakini ukweli unaujua soka halichezwi mdomoni,kuna mengi uliyohitaji zaidi ya huo ubingwa na umeyakosa kwa uwezo ,japo ubingwa ndio lilikuwa jambo la msingi....

Wewe mwenyewe wajua ila kwa sasa acha yalie mbwata tu ila next season tuombeane kheri mavurugu yatakuwa kama yote maana najua ndio mshamaliza tayari
 
Man City ameshinda rufaa yake ya kutocheza UEFA kwa miaka 2.

Yale matarajio yetu ya kwamba kina De Bryne, Sterling wataondoka watuachie utawala wa Premier League kwisha habari.

Tufanye usajili wa kueleweka, nimeshaona dalili za kutosajili kiungo wa maana baada ya propaganda za kupandisha watoto kuja timu ya wakubwa.

Kiungo, namba 9 na beki wa kati (nafasi ya Matip/Gomes). Hizi tunahitaji proven players, siyo wa majaribio.

Hapo kwenye kununua wachezaji wa kucompete badala ya wajaribio upo sahihi!

Next season sidhani kama kutakuwa tena na mbio za Timu 1 au 2.
Chelsea ni wazi kuwa watakuja na muonekano mwengine, Manure nao watakuja kivyengine, Man City atakuja na hasira upya.

Hivyo tutakuwa na wapinzani wengi sana watakaowania ubingwa.

Na kibaya zaidi baadhi ya Washabiki wana Mentality za kufanya Majaribio ya Wachezaji.

Kiukweli Wachezaji kama Jones, Williams, Elliot and co. hawa si Wachezaji wa kupambania Makombe Bali ni Wachezaji wa kuwapa game time ili kuwajengea uzoefu kwa ajili ya future plan.

Na sasahivi Timu yetu tufahamu kuwa hatupo katika kipindi cha mpito (Transitional period) cha kutengeneza Timu, Timu tumeshatengeneza sasahivi ina wajibu wa kudeliver tu! Hatujengi tena Timu.

Hivyo tunatakiwa kusajili Wachezaji wa kuwatumia ambao wa kuanza na Squad players.
 
Hizi ni jeuri za kipato cha masikini tu lakini ukweli unaujua soka halichezwi mdomoni,kuna mengi uliyohitaji zaidi ya huo ubingwa na umeyakosa kwa uwezo ,japo ubingwa ndio lilikuwa jambo la msingi....

Wewe mwenyewe wajua ila kwa sasa acha yalie mbwata tu ila next season tuombeane kheri mavurugu yatakuwa kama yote maana najua ndio mshamaliza tayari

Hakuna tuzo anapewa aliyevunja record.

Kitu kikubwa ni ubingwa, tunaweka mikakati ya kuuchukua tena msimu ujao, na ujao.

Mpaka akili iwakae sawa, tutakuwa tumevuka 20 za Man United.
 
Ooooohhh hakuna tuzo ila HESHIMA tutafukua makaburi hapa ooohh ulivyokuwa unatamani Unbeaten ulikuwa hujui kuwa hakuna tuzo?

Halafu sema 13 za united sio 20 mkuu usijifanye mjanja sana.
Sasa hapo ndipo nakushangaa unawaza kumfikia wa 13 wakati wa 3 bado hujamfikia na nina uhakika itakuchukua karne kunifikia
Wewe bado upo na Leicester city mkuu,
 
Hahaha, mzee unakataa 20 za Man United, kwa hiyo unakubali London is Blue, maana ana EPL nyingi kuwapita.
 
Hapo kwenye kununua wachezaji wa kucompete badala ya wajaribio upo sahihi!

Next season sidhani kama kutakuwa tena na mbio za Timu 1 au 2.
Chelsea ni wazi kuwa watakuja na muonekano mwengine, Manure nao watakuja kivyengine, Man City atakuja na hasira upya.

Hivyo tutakuwa na wapinzani wengi sana watakaowania ubingwa.

Na kibaya zaidi baadhi ya Washabiki wana Mentality za kufanya Majaribio ya Wachezaji.

Kiukweli Wachezaji kama Jones, Williams, Elliot and co. hawa si Wachezaji wa kupambania Makombe Bali ni Wachezaji wa kuwapa game time ili kuwajengea uzoefu kwa ajili ya future plan.

Na sasahivi Timu yetu tufahamu kuwa hatupo katika kipindi cha mpito (Transitional period) cha kutengeneza Timu, Timu tumeshatengeneza sasahivi ina wajibu wa kudeliver tu! Hatujengi tena Timu.

Hivyo tunatakiwa kusajili Wachezaji wa kuwatumia ambao wa kuanza na Squad players.
mkuu nadhani 'tulishakubaliana' tusisajili wachezaji wa ku-compete na front 3 yetu...........

tuwe wakweli, bila SF na CB next season tutatia aibu,,,, imagine vvd aumie.......
 
Liverpool plan to take up an option to extend defender Dejarn Lovren contact by ànother year and keep him until summer 2022.
 
Nyie wachimba chumvi ...msimu ujao mtakuwa kwenye kinyan'ganyiro cha top 4
 
Hahaha, mzee unakataa 20 za Man United, kwa hiyo unakubali London is Blue, maana ana EPL nyingi kuwapita.

Yani huyo atalazimisha kuwa Liverpool tokea ilipoanzishwa ndiyokwanza ina kombe 1 tu la Ligi, Lakini ukimwambia London is Blue kwasababu Chelsea ana makombe mengi ya Ligi kuliko Arsenal basi anabadili Gia angani atataka tumuhesabia Mpaka Ngao na Emirates Cups ili awe na Makombe mengi kuliko Chelsea.
 
Kiuhalisia bila hizo Emirates cup hanipati
 
Yani huyo atalazimisha kuwa Liverpool tokea ilipoanzishwa ndiyokwanza ina kombe 1 tu la Ligi, Lakini ukimwambia London is Blue kwasababu Chelsea ana makombe mengi ya Ligi kuliko Arsenal basi anabadili Gia angani atataka tumuhesabia Mpaka Ngao na Emirates Cups ili awe na Makombe mengi kuliko Chelsea.

Anabadilika kulingana na jukwaa anakwambia, akiwa huku tunaanza kuhesabu 1992, akiwa kule kwa Chelsea tunahesabu toka 1900 huko.
 
IMG_8419.jpg
 
Mushaanza tena!!! 😂😂😂😂
Musione tumenyamaza ni kwamba hatujachokozwa tu!! 😎

Tumepigwa na!
1) ATM away Hendo ndani
2) ATM Home Hendo ndani
3) Watford Hendo ndani
4) Man City Hendo ndani

Droo na Manure Hendo ndani
Droo na Everton Hendo ndani
Ddroo na Burnley Hendo hakucheza ×
Still win ratio with him 90% while without him 60%? 😂😂😂

Nadhani without him wanahesabu na zile game za FA na Carabao tulizokung'utwa na Aston Villa 5 kwa Mtungi 😇

Haki ya Nani kuna Watu Stats zao wanatoa Kuzimu wakizani sisi ni Misukule hatujui kinachoendelea😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom