Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

any how i can't stop loving liverpool

vijana wamepress muda mrefu sana

Wamepambana sana huu msimu determination yao Ya kombe ulkua unaiona usoni

ntafanya juu chini nshike hili kombe aisee

Great, and all the best.

I just hope this sloppiness is only Championship hangover, we will start next season very strong, or else we will be the laughingstock.
 
changes zipo na znatakiwa haswa tupo vulnerable on attack na leo imethibitika

attempts zao mbili zmezaa goli mbili

Magoli tume wazawadia, na kama ukiangalia makosa tuliyoyafanya, ni makosa ya mara nyingi sana haya, kurudisha mipira kwa kipa, kipa kumpa pasi adui, beki kunyanganywa akiwa anajipanga kugawa pasi.

I hope it ends up this now.
 
ndo magoli tunayofungwa from Watford match
 
Jana ni siku rasmi nilikaa kwa ajili ya kufunga Jalada la performance ya Bobby Firmino.

Takriban toka asajiliwe huyu Mwamba kwenye game v/s Arsenal huwa na best performance, but kwenye game ya jana alicheza kama Molinga tu, hivyo ni wazi kuwa mwamba tayari juwa limeshakuwa la jioni.
Huyu mwamba mara ya mwisho kufunga goli EPL sijui ilikuwa lini yani!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom