Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Siku hizi van dijk kawa Phil Jones [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nishatia mtu mibisu miwili napiga zangu bisi za mihogo na sharbat nikirudi nanyonyoa nachemsha napiga chukuchuku[emoji380][emoji380]
 
Kuku nyie

Yaan arsenal anawashikisha ukuta

Chelsea si atawanyonyoa kabisa nywele hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongereni kwa kulibeba kombe lakini mkumbuke ni timu moja pekee iliyobeba kombe bila kupoteza hata mechi moja..... PIGIA MSTARI
Aiseeeeh kuna muda pale ground kilioneshwa kile kikombe cha unbeaten cha gold,yaani mwili ulikuwa unasisimka mpaka nikachelewa kuchukua picha,
Nimeiwahi hii
Screenshot_20200715-234747.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom