Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
ππππππππ Hili kombe linafuta machozi yoteeee ndugu....Hahahahah Pamoja mkuu .....bado nilikuwa naiwazia ile game na ATM ..
Lakini yote kwa yote wacha tukipige weekend goli lishatanuliwa[emoji38][emoji38][emoji38]
#WeareLiverpool
#YNWAView attachment 1489128
Hahaha ukute mazoezini ndogo ndio hua refa ππππ...Hahah nadhani bado awe refa tu Siku moja
Kama sio kipa
[emoji3516]Vant[emoji3][emoji3]Wine na K
Haezi kuja anaugulia maumivu tu.Aya kama umetuona tunashukuru, ila vp jirani yetu hujamwona? mana tumemkaribisha siku kuu hajaja..
sjui amesusa
Iyo game itabid mfanye fair maana tumewapa ubingwa.Nawaza Mechi ya Liverpool na Chelsea itakuwaje?
Chelsea watakavyopanga foleni kuwapigia makofi Liverpool.
View attachment 1489027
Klopp become the 1st German coach to win the EPL...
As usual we set the trend others follow...
Catch us you can...
We are top top top again...
YNWA
Very close!Kumbe hawa Washkaji walikuwa wakifuatilia Mtanange kwa karibu.
Epl ilianza mwaka gani? Kwann hapo kwenye wall wameweka 19? ... umeanza ushabiki juzi?
Ni kikosi cha Β£800 m hv ee..Haezi kuja anaugulia maumivu tu.
Bila kumsahau na TAAHahaha ukute mazoezini ndogo ndio hua refa ππππ...
Mr Fix its all wa Klopp...
Kumpata huyu ndogo Fabby, Alison, Robbo na VVD ndio ilikua missing items ili Klopp akamate ubingwa...
YNWA
Hivi buvac anafanya kazi wapi saizi?Where are the guys that used to say we can't win EPL without Countinho?
That Buvac was Klopp's brain and that Klopp wouldn't win a trophy without Buvac?
They have all been silenced as the odds have been defied.
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Anaitwa DRB= Dynamic Right Back hataree sana bwana mdogo..Bila kumsahau na TAA
Ana assist nyingi kuliko viungo wa nyumbu ,arsenal, na takataka nyingine hhhabAnaitwa DRB= Dynamic Right Back hataree sana bwana mdogo..
YNWA
The drunkard master hanaga utani huyu..First manager in PL to win
UEFA, Super cup, FIFA club WC + PL
In his first 4 years at club