Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Katimu kadhaifu kalikowatoa nyie
Timu kushinda mechi ya mtoano haibadilishi ukweli kuwa ni dhaifu, toka january ilikua imeshinda nadhani robo ya mechi zake so ilikua weak mnoo. Ukiweka na majeruhi, ilishangaza wengi hta ilifikaje final maana ilikua imeshajifia.
 
Mkuu tokea january 2019 spurs iliporomoka kabisa hata wao hawaamini walifikaje fainali, ni bahati tu iliwabeba maana wote tuliona walivyoshinda dakika za lala salama.

Ila mngekutana na timu kubwa ndio kidogo mngebrag sio spurs!! Embu tuwe serious more so kwa kigoli cha penalty.

Liverpool mnajiweka kwenye class msiokuwepo mnanikumbusha Leicester ya 2015. Tusubiri next season ndio utaelewa nachosema
Kwahyo liverpool kufika final back to back tunatakiwa tusemeje na hili??
 
Korona imeleta majanga kwenye burudani, Mechi zote za UEFA, EFL, EPL, Serie A na La liga zahairishwa hadi April 4. Nani ajuaye baada ya hapo tutasikia Ligi imesitishwa na Serikali ili kutoa fursa kwa serikali kupambana na maambukizi ya Korona
mwezi wa nne ni kesho tu na hakuna dalili ya corona kupotea mamaeeeee ligi ifutwe tu na liva asipewe ndoo tukutane mwezi wa nane united lazima tufe nae.......
 
We ni kilaza aliyekwambia miaka ya nyuma ukichukua FA huendi europa nani?
Limekua major kuanzia 2010 maana mshindi anaenda hadi UEFA ila wakati nyie mnabeba it was trash tu kwenye aggregates za UEFA na FIFA. Hata timu zilikua zinapanga vikosi vya pili tofauti na sasa wanataka a certain number ya 1st team players kucheza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 2 mwezi wa 4 the FA watakutana kufuta matokeo yote ya msimu huu wa ligi. Liverpool itabidi msubiri mwaka mwingine wa 31 kujaribu tena.
Wakifanya hivi najua jiji la Liverpool litabadilishwa jina kuwa Bloodpool.
 
Tunaposema washabiki sio nyie wapiga kelele mitandaoni bali wenye uanachama kabisa. Sasa Man city ilikua na washabiki chini ya 10 million kufikia 2010 ila mpaka sasa wamesajili zaidi ya mashabiki million 100 duniani sasa unaweza niambia hao washabiki wapya wametokea wapi? Au walikua wanashabikia Cricket na Golf?

Pia Washabiki sio kujaza uwanja mfano chelsea kuna kipindi ilisajili mashabiki mamilion kutoka China ila wanakujaga wote stamford bridge?

Espanyol imemsajili Wu Lei kahamia hapo na washabiki mamilion wa kichina ila bado uwanja haujai sababi sio mashabiki wote wapo spain kumuangalia ila mauzo ya jezi na kadi za uanachama yameongezeka.

Sasa swali langu ni hili kama washabiki hawahami nisaidie hao wa Man city wametokea wapi na naomba unieleze wale washabiki zaidi ya million 30 wa Leeds leo hii wako wapi??

Naomba uje na data sio kelele
Swali ya namna hii hauwezi kujibiwa kabisa mkongwe.
 
Mkuu jifunze kwanza kuandika naona kipigo cha Atletico bado kimekuchanganya akili!!

Ni hivi Atletico sio level ya Liverpool ndio maana tuna makombe mengi kuliko nyie recently so mafanikio ya msimu mmoja kma leicester yasiwafanye muone nyie ni timu kubwa. Bado sana, yaani huna hata EPL mwaka wa 30 sasa eti Liverpool ni timu kubwa?? Mmeshiriki UCL mara 3 ndani ya miaka 10 timu kubwa??

Kwa akili hizi ndio maana katimu kenu kanapigwa ovyo cku mmejiweka kwenye class ambayo hampo. Eti unbeaten 49 mkadhani Arsenal ya enzi zile ni kama hiki kitimu cha overrated british kids Robertson,TAA na henderson??

Mnafurahisha sana, anyway naombea ligi ifutwe kabisa ili muendelee kuwa Looserfools for 30 more years!!
Tumeshiriki mara tatu ndani ya miaka kumi na tumechukua, ila hao atletico wameshiriki mara kumi na wamechukua ngapi? Hivi ujiulizi kwanini wenger alitimuliwa arsenal?
 
We ni kilaza aliyekwambia miaka ya nyuma ukichukua FA huendi europa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida Mmeanza kufuatilia mpira uzeeni.
Zamani kulikuwa na makombe 3 ya UEFA
UEFA Cup
UEFA cup winners' cup
UEFA champions league

Ulikua ukibeba FA cup basi una tiketi ya CWC mpaka miaka ya elfu mbili ndio mfumo ukabadilika na washindi wa FA ndio wakaenda UEFA cup na CWC likafutwa.

So till then halikua major trophy tofauti na sasa ambapo hata Carabao cup limehesabika kama major trophy sababu nayo inaweza pelekea bingwa wake UEFA kulingana na coefficients za nchi husika.

Ni muhimu kabla ya hii mijadala uwe na facts mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom