Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa sababu ndio decade ambapo timu ilipaa anyway hata tukimix na kuanza 21st century bado wanawazidi makombe kwa mbali sana.

Haya liverpool tukitaka kuongelea mafanikio yenu inatupasa tujadili miaka ya 70 na 80 ambapo ndio mlikuwa timu haswaa kabla hamjaporomoka na kuwa mediocre kwa miaka 30 sasa.
Champions league 2005 ,

UEFA cup 2001

European super cup 2001,2005,

Fa cup 2001,2006

League cup 2001,2003

Haya yalikuwa mafanikio ya miaka 70
 
Champions league 2005 ,

UEFA cup 2001

European super cup 2001,2005,

Fa cup 2001,2006

League cup 2001,2003

Haya yalikuwa mafanikio ya miaka 70
Narudia tena Man City wana major trophies mengi kuliko nyie hilo naona umeshindwa kujibu.

Alafu hapo hakuna kombe la maana zaidi ya UCL 2005 hayo mengine ni ya mbuzi tu sio ya level za liverpool ya miaka ya 70/80.

Ligi hujashinda kwa miaka 30 then waringishia League cup?? Are you serious??

Ni hivi decades 80 defined Liverpool kama ambavyo decade 10s has defined Man City hutaki acha.
 
Nitajie MAJOR TROPHIES 6 ambazo umesema Manchester city wameshinda kttk kipindi cha miaka 10 iliyopita Note Makombe ya mbuzi siyahitaji kama ulivyosema.
 
Mabonanza haya mbona matimu matimu yako unayoyashabikia yamewashinda.
20200330_155137.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabonanza haya mbona matimu matimu yako unayoyashabikia yamewashinda.View attachment 1403972

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kma ni super cup tu Atletico anayo matatu last decade. Na hata kombe mliloshiriki zaidi last decade yaani Europa league huko pia iliwashinda kubeba ila Atleti kabeba mara 3.

Kwahiyo hakuna mlichotuzidi zaidi ya UCL hako kamoja tu kwa goli la penalty. Kiufupi level za kubishana nao ni Leicester city maana nao walikua na kamsimu kamoja kazuri ila hawakuwa na kelele kibao kama nyie.
 
Nitajie MAJOR TROPHIES 6 ambazo umesema Manchester city wameshinda kttk kipindi cha miaka 10 iliyopita Note Makombe ya mbuzi siyahitaji kama ulivyosema.
Premier league 4
FA Cup 2

Nyie Major trophy UCL pekee tena goli la penalty dhidi ya katimu dhaifu.

Sasa utajilinganishaje na Man City?? Wamewazidi kila kitu mkuu maana namba hazidanganyi
 
FA CUP kwa Manchester city ni Major trophies lakini kwa Liverpool ni kombe la mbuzi.
 
We jamaa ninajiondoa kwenye hii argument kwa sababu nimeona either unaendeshwa na inferiority complex kwa LFC au kuna mtu unatafuta kum-provoke.
Kwenye mijadala ni fact mkuu tusiweke hisia.

Kila timu ina kipindi ambacho ilijijenga kwa mafanikio.

Man City imefikia peak ya success decade iliopita kama tu Atletico, ila Liverpool decade 70 na 80 ndio ilifikia kilele kwahiyo napotoa mfano kuwa Man City is better last decade sidhani ni busara kuanza kusema eti ooh mbona husemi kabla ya 2010!!

Liverpool is good ila kwenye historical books pekee kwa sasa ni kivuli tu kma Leeds,Aston villa ama Nottingham forest. Huu ni ukweli ambao wengi hamtopenda kuusikia.
 
FA CUP kwa Manchester city ni Major trophies lakini kwa Liverpool ni kombe la mbuzi.
Limekua major kuanzia 2010 maana mshindi anaenda hadi UEFA ila wakati nyie mnabeba it was trash tu kwenye aggregates za UEFA na FIFA. Hata timu zilikua zinapanga vikosi vya pili tofauti na sasa wanataka a certain number ya 1st team players kucheza.
 
Liverpool is good ila kwenye historical books pekee kwa sasa ni kivuli tu kma Leeds,Aston villa ama Nottingham forest. Huu ni ukweli ambao wengi hamtopenda kuusikia.

Hii kama umeiandika huku ukiwa una maanisha, nitakushauri ujaribu kujifanyia assessment kwenye discussions ambazo ni sports related.

Ila kama umeandika kishabiki, it's okay. Mshabiki na mlevi wana ruhusa ya kuandika pumba na baadae kujitetea kwamba nilitumia ushabiki au nilikuwa nimelewa.
 
Premier league 4
FA Cup 2

Nyie Major trophy UCL pekee tena goli la penalty dhidi ya katimu dhaifu.

Sasa utajilinganishaje na Man City?? Wamewazidi kila kitu mkuu maana namba hazidanganyi
Hiyo the so called timu dhaifu ndiyo iliyowatoa hao Man city semi finals!!

Level up dude
 
Hii kama umeiandika huku ukiwa una maanisha, nitakushauri ujaribu kujifanyia assessment kwenye discussions ambazo ni sports related.

Ila kama umeandika kishabiki, it's okay. Mshabiki na mlevi wana ruhusa ya kuandika pumba na baadae kujitetea kwamba nilitumia ushabiki au nilikuwa nimelewa.
Nmeandika nikiwa sober kabisa sema ni maoni yangu so sio lazima yafanane na yako.

Ila ukweli ni kwamba liverpool ilishakua timu ya kawaida sana ndio maana UCL ilipotea ndani ya miaka 10 na EPL hamjaigusa mwaka wa 30 sasa.

Ila tofauti ni kwamba mmekua na msimu mzuri tu hii miaka miwili kma Leicester ama Spurs baada ya kumwaga mabillion kusajili, sasa nashangaa mmeshaona mna belong to elites. Hata ukiingia Reddit kule jukwaa la Liverpool ni kelele kibao.

So weird
 
Hiyo the so called timu dhaifu ndiyo iliyowatoa hao Man city semi finals!!

Level up dude
Mkuu tokea january 2019 spurs iliporomoka kabisa hata wao hawaamini walifikaje fainali, ni bahati tu iliwabeba maana wote tuliona walivyoshinda dakika za lala salama.

Ila mngekutana na timu kubwa ndio kidogo mngebrag sio spurs!! Embu tuwe serious more so kwa kigoli cha penalty.

Liverpool mnajiweka kwenye class msiokuwepo mnanikumbusha Leicester ya 2015. Tusubiri next season ndio utaelewa nachosema
 
Nmeandika nikiwa sober kabisa sema ni maoni yangu so sio lazima yafanane na yako.

Ila ukweli ni kwamba liverpool ilishakua timu ya kawaida sana ndio maana UCL ilipotea ndani ya miaka 10 na EPL hamjaigusa mwaka wa 30 sasa.

Ila tofauti ni kwamba mmekua na msimu mzuri tu hii miaka miwili kma Leicester ama Spurs baada ya kumwaga mabillion kusajili, sasa nashangaa mmeshaona mna belong to elites. Hata ukiingia Reddit kule jukwaa la Liverpool ni kelele kibao.

So weird

Ni maoni yako.

Thanks.
 
Kwenye mijadala ni fact mkuu tusiweke hisia.

Kila timu ina kipindi ambacho ilijijenga kwa mafanikio.

Man City imefikia peak ya success decade iliopita kama tu Atletico, ila Liverpool decade 70 na 80 ndio ilifikia kilele kwahiyo napotoa mfano kuwa Man City is better last decade sidhani ni busara kuanza kusema eti ooh mbona husemi kabla ya 2010!!

Liverpool is good ila kwenye historical books pekee kwa sasa ni kivuli tu kma Leeds,Aston villa ama Nottingham forest. Huu ni ukweli ambao wengi hamtopenda kuusikia.
We jamaa ndo unaenda kwa hisia hafu unawaambia wenzako wasiende kwa hisia

Dah we jamaa bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom