Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu hujawahi sikia mchezaji anagoma kuhamia timu sababu haipo UCL?

Kushinda major trophies ni muhimu ila sio sababu pekee ya kushiriki.

Publicity, mauzo ya jezi, Tv rights, fan base, kuvutia world class players etc na ndio maana Valencia msimu uliopita waliambiwa wasijiandae na fainali ya FA Cup yao ili washinde mechi zilizobaki za ligi waibuke nafasi ya 4.

Kwahiyo unaweza ona ushiriki tu UCL ina faida sio za kikombe tu bali nyingi sana hivyo usibeze Man city kushiriki mara nyingi zaidi kuliko liverpool

Mimi naomba nieleze kidogo kitu nilichojifunza kutoka kwako.

Ulikuwa mshabiki wa Arsenal, then ukahamia Atletico; from one average team to another average team. Arsenal hajawahi kuchukua UEFA, na success yake kubwa ilikuwa ni kushiriki UEFA, same same kwa Atletico.

Hivyo style yako ya ushabiki ni ile ya kujificha kwenye timu ambazo KPI zake ni kushiriki ligi na si kuchukua ubingwa.

Pep alikuwa Bayern, kachukua domestic misimu yote, lakini ilifikia sehemu akaonekana si chochote kwa sababu hawezi kuwapa UEFA.

Juzi pia Pep kafanya interview akiwa City, ilikuwa kama joke lakini ilikuwa na maana. Alisema kama asipochukua UEFA atafukuzwa City.

Liverpool hajawahi kuwa na malengo ya kushiriki UEFA, malengo yake ni kuchukua UEFA.

Liverpool hajawahi kuwa na malengo ya kushiriki Premier League, malengo ni kuchukua. Ndiyo maana ikifika muda ikaonekana kwamba kocha hawezi kutupa ubingwa tunaachana naye.

Atletico kushiriki UEFA ni achievement kubwa, Arsenal pia. Liverpool achievement yake ni kuchukua UEFA.
 
Mkuu hizo ni takwimu unaweza hata google tu haina haja ya kudebate. Mfano mimi nilikua shabiki wa kutupwa wa Arsenal ila kuanzia 2010 hapo ikawa Atletico Madrid mpaka leo. Kwahiyo washabiki wanapokuja kwako haimaanishi walikua hawafuatilii mpira kabla ila wamehama kutoka vilabu vyao kwa sababu mbalimbali.
Hakuna shabiki anaehama timu , hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuweka statistics za net spending za Liverpool, City na PSG hapa?

Chagua cutoff wewe mwenyewe unayoona inafaa.
Mkuu kuzidiwa net spend sio issue yaani kwakuwa wewe ni mwizi wa elfu 50 eti usiitwe mwizi sababu kuna walioiba million 1??

Aaaah hii sio logic mkuu, kiburi cha liverpool kutumia £250 mwaka 2018 kusajili wachezaji wanne pekee ni kichekesho maama Klopp alimkejeli sana Mourinho alimpomsajili Pogba kwa bei kubwa.

Kiufupi mlinunua ubingwa kwa kutumia pesa nothin much.
 
Hakuna shabiki anaehama timu , hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hao washabiki wa Man City wametokea sayari gani? Hivi huwezi hata kugoogle tu Washabiki wa Leeds united wale mamillion wanashabikia nani kwa sasa?? Ama washabiki waliokwazika wa Newcastle na Arsenal wapo wapi kwa sasa??

Mkuu mashabiki wanahama, mie ilikua arsenal ikifungwa nalia usiku kucha I was that mad ila siku hizi hata wakicheza sina habari nasubiri highlights tu za youtube. Ndio sembuse washabiki wa timu zingine wanaohama na upepo!! Jiulize wale washabiki wapya waliomfuata Ronaldo juve wametoka timu gani?
 
Mkuu kuzidiwa net spend sio issue yaani kwakuwa wewe ni mwizi wa elfu 50 eti usiitwe mwizi sababu kuna walioiba million 1??

Aaaah hii sio logic mkuu, kiburi cha liverpool kutumia £250 mwaka 2018 kusajili wachezaji wanne pekee ni kichekesho maama Klopp alimkejeli sana Mourinho alimpomsajili Pogba kwa bei kubwa.

Kiufupi mlinunua ubingwa kwa kutumia pesa nothin much.

Uzuri ni kuwa unajua implication ya takwimu nilizoomba, umeona ukwepe kwa mfumo huo.

Sawa.
 
Mimi naomba nieleze kidogo kitu nilichojifunza kutoka kwako.

Ulikuwa mshabiki wa Arsenal, then ukahamia Atletico; from one average team to another average team. Arsenal hajawahi kuchukua UEFA, na success yake kubwa ilikuwa ni kushiriki UEFA, same same kwa Atletico.

Hivyo style yako ya ushabiki ni ile ya kujificha kwenye timu ambazo KPI zake ni kushiriki ligi na si kuchukua ubingwa.

Pep alikuwa Bayern, kachukua domestic misimu yote, lakini ilifikia sehemu akaonekana si chochote kwa sababu hawezi kuwapa UEFA.

Juzi pia Pep kafanya interview akiwa City, ilikuwa kama joke lakini ilikuwa na maana. Alisema kama asipochukua UEFA atafukuzwa City.

Liverpool hajawahi kuwa na malengo ya kushiriki UEFA, malengo yake ni kuchukua UEFA.

Liverpool hajawahi kuwa na malengo ya kushiriki Premier League, malengo ni kuchukua. Ndiyo maana ikifika muda ikaonekana kwamba kocha hawezi kutupa ubingwa tunaachana naye.

Atletico kushiriki UEFA ni achievement kubwa, Arsenal pia. Liverpool achievement yake ni kuchukua UEFA.
Hapa hoja sio Atletico wala Arsenal, nadhani hoja ni Man city kushiriki miaka mingi UCL (kitu ambacho hawakuweza miaka 30 iliyopita) eti haina maana kuliko liverpool kushiriki mara 3 pekee na kushinda mara moja.

Hii ndio hoja nayopinga, Man City ilihitaji kushiriki UCL kwanza kubalance FFP na kuvutia world class players ili kuendelea kubaki on top kitu ambacho liverpool mlifeli tokea 2010 mkashindwa vutia top players mpaka alipokuja Klopp maana mlikua average team.

Kwahiyo usi underrate kushiriki UCL kwa Man city hata kama haijabeba tena kwa kulinganisha na Fc Bayern ambayo ni Monopoly kama Juventus kwenye ligi zisizo na competition!! Ni poor comparison

NB: Liverpool ni average team zaidi ya hizo ulizotaja maana miaka 30 bila ubingwa, na decade nzima mmeshiriki Europa league pekee sidhani kama mnabelong yo elite class.
 
Hii kauli ikitoka kwa mshabiki aliyetoka Arsenal akahamia Atletico siwezi kushangaa.

Kwa nini? Kwa sababu achievement ya hizo timu ni kushiriki, hivyo tayari mna mentality hiyo ya kwamba mkishiriki inatosha.

Liverpool kushiriki haitoshi.
 
hakuna shabiki anae hama timu , hayupo, narudia tena hakuna shabiki anae hama timu

hapo hapo uwanja wao wanashindwa ingia watu elfu 40 utasema kuna ongezeko gani la mashabiki ? mashabiki wa leeds wako na leeds yao , hakuna shabiki anae hama timu .., weka kama umehama timu nenda kwenye netball, tennes huko, rugby, na michezo mengine..pengine hapa ulipo hupaswi kua hapa
Kwahiyo hao washabiki wa Man City wametokea sayari gani? Hivi huwezi hata kugoogle tu Washabiki wa Leeds united wale mamillion wanashabikia nani kwa sasa?? Ama washabiki waliokwazika wa Newcastle na Arsenal wapo wapi kwa sasa??

Mkuu mashabiki wanahama, mie ilikua arsenal ikifungwa nalia usiku kucha I was that mad ila siku hizi hata wakicheza sina habari nasubiri highlights tu za youtube. Ndio sembuse washabiki wa timu zingine wanaohama na upepo!! Jiulize wale washabiki wapya waliomfuata Ronaldo juve wametoka timu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hoja sio Atletico wala Arsenal, nadhani hoja ni Man city kushiriki miaka mingi UCL (kitu ambacho hawakuweza miaka 30 iliyopita) eti haina maana kuliko liverpool kushiriki mara 3 pekee na kushinda mara moja.

Hii ndio hoja nayopinga, Man City ilihitaji kushiriki UCL kwanza kubalance FFP na kuvutia world class players ili kuendelea kubaki on top kitu ambacho liverpool mlifeli tokea 2010 mkashindwa vutia top players mpaka alipokuja Klopp maana mlikua average team.

Kwahiyo usi underrate kushiriki UCL kwa Man city hata kama haijabeba tena kwa kulinganisha na Fc Bayern ambayo ni Monopoly kama Juventus kwenye ligi zisizo na competition!! Ni poor comparison

NB: Liverpool ni average team zaidi ya hizo ulizotaja maana miaka 30 bila ubingwa, na decade nzima mmeshiriki Europa league pekee sidhani kama mnabelong yo elite class.
Liverpool ilishindwa vutia Top player's?? are you serious??? (Mimi ni Shabiki wa Manchester United)

miaka 20 iliyopita , Liverpool iliyofanya ujinga kwenye Transfer market ilikua ni Liverpool ya Rodgers , Aliewaondoka kina Luis Suarez na group lake akaleta kina Lambert na group lake , miaka yote Liverpool imekua na world class player's mwanzo mwsho .. there was a time walikua na kiungo ya Xabi Alonso , Masherano, Gerald.. Mbele Ako Torres.. unahaki ya kuhama timu walai

Shida unakurupuka mkuu, hapa tumelinganisha Man City na Liverpool za last decade. Yaani City inayoshiriki UCL na Liverpool iliokuwa inaishia Europa league pekee

Nani alivutia top class players??
 
hakuna shabiki anae hama timu , hayupo, narudia tena hakuna shabiki anae hama timu

hapo hapo uwanja wao wanashindwa ingia watu elfu 40 utasema kuna ongezeko gani la mashabiki ? mashabiki wa leeds wako na leeds yao , hakuna shabiki anae hama timu .., weka kama umehama timu nenda kwenye netball, tennes huko, rugby, na michezo mengine..pengine hapa ulipo hupaswi kua hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunaposema washabiki sio nyie wapiga kelele mitandaoni bali wenye uanachama kabisa. Sasa Man city ilikua na washabiki chini ya 10 million kufikia 2010 ila mpaka sasa wamesajili zaidi ya mashabiki million 100 duniani sasa unaweza niambia hao washabiki wapya wametokea wapi? Au walikua wanashabikia Cricket na Golf?

Pia Washabiki sio kujaza uwanja mfano chelsea kuna kipindi ilisajili mashabiki mamilion kutoka China ila wanakujaga wote stamford bridge?

Espanyol imemsajili Wu Lei kahamia hapo na washabiki mamilion wa kichina ila bado uwanja haujai sababi sio mashabiki wote wapo spain kumuangalia ila mauzo ya jezi na kadi za uanachama yameongezeka.

Sasa swali langu ni hili kama washabiki hawahami nisaidie hao wa Man city wametokea wapi na naomba unieleze wale washabiki zaidi ya million 30 wa Leeds leo hii wako wapi??

Naomba uje na data sio kelele
 
Hii kauli ikitoka kwa mshabiki aliyetoka Arsenal akahamia Atletico siwezi kushangaa.

Kwa nini? Kwa sababu achievement ya hizo timu ni kushiriki, hivyo tayari mna mentality hiyo ya kwamba mkishiriki inatosha.

Liverpool kushiriki haitoshi.
Liverpool fans mna arrogance!! Trophyless EPL kwa miaka 30 then mnajikuta mna expect much?

Suarez aliwakimbia sababu hampo UCL so did Top class players waligoma kuja hapo then mnajiboast hvi mtadhani ni top class team.

Liverpool ni average british team iliokua na msimu mzuri kma Leicester 2015 ama spurs last season, na thanks to Allah kutolewa UCL hii na Atletico imewakata jeuri yote!!

Hope next season mrudi mlipotoka three seasons ago!!
 
Labda nikuulize kitu mkuu, ni kitu gani kilikufanya uhamie Atletico?

Na ulihamia mwaka gani?

Je, kama El Cholo akiondoka, unajiona ukiwa mshabiki wa team gani baadae?
 
Klopp: "When we knew about the effect of coronavirus in Madrid, and that they were closing schools and universities, it affected us mentally when we were training for the return leg against Atletico"

Sent using Jamii Forums mobile app
I was thinking he is so smart Kumbe nae ni mswahili tu. Liverpool walifungwa kimbinu na si vinginevyo. Watford waliwafunga kwa sababu ya corona? Chelsea je, Atletico game ya pili je? Kumbe bora ligi ifutwe tu, corona ipo na Liverpool wanafahamu ipo na madhara yapo na Liverpool wanajua hilo
 
Hahaha, sina uhakika wa hii taarifa ila pia siwezi kushangaa.

That is Klopp.
 
Shida unakurupuka mkuu, hapa tumelinganisha Man City na Liverpool za last decade. Yaani City inayoshiriki UCL na Liverpool iliokuwa inaishia Europa league pekee

Nani alivutia top class players??
Hii ni Liverpool na Manchester City ushiriki wake wa mashindano ya Ulaya last decade..

Liverpool imecheza misimu 7.. Manchester city misimu 8

Liverpool ni bingwa na kacheza final 3 mfulilizo along the way

City mafanikio yake makubwa ni nusu final moja tu , safari yake it's either round of 16 au group stage... misimu hii miwil ambayo Liverpool yote kafika final wao wameishia robo

iwe domestic au Ulaya.. city yuko miles away kutoka Liverpool alipo , na huenda asifike hapo kabisa
Screenshot_20200330-090026.jpeg
Screenshot_20200330-090335.jpeg
Screenshot_20200330-090322.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20200330-090335.jpeg
    Screenshot_20200330-090335.jpeg
    28.6 KB · Views: 10

Similar Discussions

Back
Top Bottom