Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FA wamesema Ligi haitofutwa ni lazima imalize
Kuna miezi miwili mbele ya kumaliza ligi, mpango ni ligi zote Ulaya ziishe kabla ya 30/6/20 sasa ikifika tarehe hizo watakata tena na kuamua kama isongezwa mbele zaidi tarehe za kumalizika...

Hofu sasa ni Kwa wachezaji maana kama mechi zilizobaki ikiwemo UCL, Europa, FA na EPL upo uwezekano timu zingine wakicheza mechi kila baada ya siku 2 au 3...

Wachezaji wametoa tahadhari juu ya kutokua na match fitness ya kumudu mechi kila baada ya siku 3 hivyo upo uwezekano Carabao na FA kufutwa msimu huu...

YNWA
 
Kuna miezi miwili mbele ya kumaliza ligi, mpango ni ligi zote Ulaya ziishe kabla ya 30/6/20 sasa ikifika tarehe hizo watakata tena na kuamua kama isongezwa mbele zaidi tarehe za kumalizika...

Hofu sasa ni Kwa wachezaji maana kama mechi zilizobaki ikiwemo UCL, Europa, Carabao, FA na EPL upo uwezekano timu zingine wakicheza mechi kila baada ya siku 2 au 3...

Wachezaji wametoa tahadhari juu ya kutokua na match fitness ya kumudu mechi kila baada ya siku 3 hivyo upo uwezekano Carabao na FA kufutwa msimu huu...

YNWA
carabao siishaishaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu carabao si tYari bingwa ni man city.?.
Kuna miezi miwili mbele ya kumaliza ligi, mpango ni ligi zote Ulaya ziishe kabla ya 30/6/20 sasa ikifika tarehe hizo watakata tena na kuamua kama isongezwa mbele zaidi tarehe za kumalizika...

Hofu sasa ni Kwa wachezaji maana kama mechi zilizobaki ikiwemo UCL, Europa, Carabao, FA na EPL upo uwezekano timu zingine wakicheza mechi kila baada ya siku 2 au 3...

Wachezaji wametoa tahadhari juu ya kutokua na match fitness ya kumudu mechi kila baada ya siku 3 hivyo upo uwezekano Carabao na FA kufutwa msimu huu...

YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji wa Atletico Madrid ya Hispania Marcos Llorente ameingia kwenye headlines baada ya kuamua kumpa jina Mbwa wake jina ambalo la uwanja wa Liverpool (Anfield).
Marcos ,25, jina hilo kampa mbwa wake ikiwa ni mwezi mmoja umepita toka Atletico Madrid waitoe na kuivua Ubingwa Liverpool katika michuano ya UEFA Champions League wakiwa katika uwanja wao wa Anfield.
Katika mchezo huo wa 16 bora uliyochezwa Anfield March 11 2020 na Atletico Madrid kushinda magoli 3-2.
Marcos Llorente alikuwa sehemu ya ushindi huo akifunga mgoli mawili dakika ya 97 na dakika ya 105 kabla ya Morata kufunga goli la mwisho dakika ya 120 na Liverpool kujikuta wakiondolewa kwa kipigo cha jumla (aggregate 2-4) hivyo Llorente inawezekana kamuita mbwa wake jina la Anfield kama sehemu ya kukumba historia aliyoiacha Anfield.
 
Get better Sir Daglish...

Former Liverpool player and manager Sir Kenny Dalglish has tested positive for coronavirus, the club has confirmed.

Dalglish was admitted to hospital on April 8 due to an infection "which required intravenous antibiotics", but was also tested for the virus, which "unexpectedly" came back positive despite him not showing any symptoms.

YNWA
 
Oooh mane sorry for late wishing
1586542941817.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIVERPOOL WITH THE GREATEST COMEBACK SINCE LAZARUS
.
Unamkumbuka Lazaro wa Bethania? Binadamu alieishi Karne ya kwanza hapa duniani, anaezungumziwa kwenye Injili ya Yohana? Yule binadamu aliefufuliwa na Nabii Issa bin Mariam baada ya kifo chake ndani ya siku nne?
.
Anyway wale wahuni na wahafidhina wa Liverpool wakuitwa Liverpudlian wanadai ile comeback yao dhidi ya Barcelona pale Anfield ni ya pili baada ya maajabu ya ufufuo wa Lazaro
.
Kaskazini mashariki mwa England mnamo saa 3:43 usiku, dakika ya 82:50 kwenye dimba la Anfield tayari majogoo wapo mbele kwa bao 4-0 dhidi ya Barca, what a miracle kila mtu anashangaa maajabu ya Liverpool
.
Divock Origi turned in to do the miracles, wakati uwanja na majukwaa yote ya Liverpool yameamka, kuanzia jukwaa la The Kop, Sir Kenny Dalgish na Anfield Road End kote kumeamka, nyasi za Anfield zinapendezeshwa na Gergen pressing, kuna muda wahuni walitengeneza space, walicover space na kubackup space, absolutely totality
.
Wakati ngoma inaelekea mwishoni wale wahuni wanaomkubali sana Bill Shankly, wakaliamsha goma lao, "The fields of Anfield Road" hii nyimbo ikiwa inaimbwa huwa wanalia, huwa wanachizika, Mwanaliverpool yoyote anaruka huku wakitaja vipenzi vyao, Bill Shankly, Kenny Dalgish 'King Kenny' na Paisley
.
"Outside the Shankly Gates
I heard a Kopite calling
Shankly they have taken you away
But you left a great eleven
Before you went to heaven
Now it's glory round the Fields of Anfield Road"
.
Hii inapopigwa Gerrard anakwambia wale watoto halisi wa Melwood wapo tayari kuweka kichwa mbele ya mguu, ni spirit yao ni kumtaka mchezaji atoe jasho na damu
.
Ni saa 4:10 usiku, game imeisha pale Anfield, Liverpudlian wanatoka uwanjani, bado wanapiga goma lao, wanapitia baa kupata urabu wa kutosha till midnight, hao ndio LIVERPOOL
.
Baba yangu alikuwa ni shabiki namba 1 kati ya mashabiki wa Liverpool kisha Bongo yeye ni Yanga Afrika
FB_IMG_1586628763732.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom