Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,012
Kwamba unaenda kuokota data hapa unakuja simama nazo kama hoja ya kupinga jambo ?? forum ambayo ni user generated kama Jamii forum , unakuta mtu kama "Zero IQ" kashusha mambo yake unayabeba unaenda fanya reference ...Tunaposema washabiki sio nyie wapiga kelele mitandaoni bali wenye uanachama kabisa. Sasa Man city ilikua na washabiki chini ya 10 million kufikia 2010 ila mpaka sasa wamesajili zaidi ya mashabiki million 100 duniani sasa unaweza niambia hao washabiki wapya wametokea wapi? Au walikua wanashabikia Cricket na Golf?
Pia Washabiki sio kujaza uwanja mfano chelsea kuna kipindi ilisajili mashabiki mamilion kutoka China ila wanakujaga wote stamford bridge?
Espanyol imemsajili Wu Lei kahamia hapo na washabiki mamilion wa kichina ila bado uwanja haujai sababi sio mashabiki wote wapo spain kumuangalia ila mauzo ya jezi na kadi za uanachama yameongezeka.
Sasa swali langu ni hili kama washabiki hawahami nisaidie hao wa Man city wametokea wapi na naomba unieleze wale washabiki zaidi ya million 30 wa Leeds leo hii wako wapi??
Naomba uje na data sio kelele
Labda nikusaidie namba ya kujua idadi ya mashabiki na ukuaji wa Brand ya club
1. Mauzo ya Jersey na mapato yatokanayo na mauzo hayo
2. idadi ya watazamaji wa mechi zinazo husu club husika
3. Social media interactions
4. Wachezaji wanao ongoza kuuza jersey zao .. top ten club inaingiza wangapi ?
ndio maana leo utashangaa Neymar anazidiwa na Nemanja matic , ni kwasababu ya fanbase ya club
Sent using Jamii Forums mobile app