Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool HALISI hamna haja ya kutukana team,waacheni Liverpool MASLAHI waendelee kutukana team!
Tulikuwa na msimu mzuri sana na tumechukua EPL.
Sasa tuanze maandalizi ya sherehe yetu inafanyikia wapi na lini


Sent from my iPhone using JamiiForums
Very dissappointed lakini napenda sana loyalty yako kwa timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Kweli Mungu ni mwema

Nilisema mengi kuhusu Adrian nikapingwa lakini leo kawa Exposed.

Nasubiri waliokimbia Uzi muda huu wakija hapa asubuhi au Mchana watakuja na vijisababu vya kutengeneza vingi vya kumtetea.
Inamaanisha umefurahi sababu uliyoyazungumza yamethibitika?
Hata angepigwa goli 5 Karius hawezi kuwa bora kwa Adrian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuassume kipa asingechoma hizo goli mbili.
Mngetoka 2-1
Aggregate ingekuja 2-2
Nani angepita?

Goli 1 moja tu kwenye Knockout stage linabadilisha sura ya mchezo na kupelekea hayo mengine yalafuata.

Kwahiyo hiyo blunder ndiyo iliyopelekea na hilo 1 unalozungumzia wewe likapatikana.
 
You will never walk alone.. poor loserfool
IMG_20191004_094549.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili uweze kushinda uefa lazima uwe na wachezaji wenye uwezo sio mtu kama adrian,lileboko alilolitoa atabadilisha kila kitu .

Ila hiyo itakuwa funzo kwa klopp na kwa team nunua wachezaji wenye uwezo ,iliuweze kushindana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaweza kuwa na wachezaji wenye uwezo na usishinde UEFA
 
Kale kamsemo kenu ka sijui mzimu wa uefa mkatupilie mbali... Ni imani za kufikirika tu... Muwaambie na wale wanaokachochea wakina Edo kumwembe na yule jamaa wa gazeti la dimba,mzee wa liva waache kuwadanganya danganya kama watoto... Hakuna cha mzimu wa uefa ulioganda vifuani anfield wala nini.
Ila mnafurahisha aiseeh extra time mmelambwa tatu😀😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom