ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
Hii game siyo Lovren aliyetuchomesha, timu nzima ilikuwa chin
Sawa mkuu.
Hii game siyo Lovren aliyetuchomesha, timu nzima ilikuwa chin
Sawa mkuu.
Ubingwa upo bila shaka.
Tutaupata kwa jasho.
1: Timu pinzani zitajua liver anafungika.
2: Hofu/ mashaka yatawapata wachezaji
3: Jinamizi halitatoka mapema.
4: Media zitampigia debe Sana Capt .
5: Gomes,ni Msaidizi mkubwa wa VVD :Chambo is not serious enough.
Hii game siyo Lovren aliyetuchomesha, timu nzima ilikuwa chini ya kiwango.
Yani huyo jamaa sijui shida ni nini! Nashindwa kuelewa.
Na cha ajabu Mimi hata simquote wala simjadili lakini yeye haridhiki kama hajanitaja.
Au anahisi hapa tunagombania umaarufu?
Nadhani afahamu kuwa JF mimi sijuilikani nyuzi yoyote isipokuwa Nyuzi hizi za Michezo.
Kwenye Nyuzi nyengine hata hawajuwi kama kuna Mtu anaitwa King Ngwaba.
Basi na aende tu huko kwenye nyuzi nyengie akajitangaze awe maarufu.
Jana tu 😂😂😂Wewe upo Watford tangia lini?
kumewachanganya zaidi arsenal maana wamepigwa na kitimu cha ligi ya ugiriki home na kutolewa europaKUFUKUZWA KWA MEMBE CCM KUMEWACHANGANYA SANA LIVERPOOL!




Hahahahahaha dah jamaa kazingua kichizi..Mkuu punguza dharau bhana, kwa hiyo unaamaanisha jamaa hana hadhi hata ya kudeki choo!! duuuh!![]()
muhimu kwetu ubingwa, tumetukanwa sana jamani msisahau.Kufungwa na watford kumeniuma sana kwa kweli hizi game 3 za mwisho sijui tatizo ni nini?
Timu sasa ndo inaenda kucheza mpira halisi siyo tena ku-defend au break a record ... we are going to start another new record






Kufungwa na watford kumeniuma sana kwa kweli hizi game 3 za mwisho sijui tatizo ni nini?
Timu sasa ndo inaenda kucheza mpira halisi siyo tena ku-defend au break a record ... we are going to start another new record
fikra za kuchukua ubingwa bila kufungwa mlikuwa nazo hasa,sema limetokea hili kama ajali tu.....nakubaliana na wanasosema LFC ilikuwa haina fikra ya kutofungwa japo wachezaji walikuja kuwa nayo sabababu media bdio wenye kuongea hayo zaidi, mpaka wachezaji wa LFC wanaweza kuwa wakawa nayo ndomana walikuwa wanacheza pasi za taratibu, ila mashabiki wa LFC wanafikiria kombe zaidi, sasa ile kutofungwa imetoka moto unaokuja wa wachezaji kucheza kwa kasi utakuwa mzuri game tatu mfululizo ushindi muhimu na utakuja kila game sio chini ya goli mbili mtaona wenyewe kama sio ubingwa Manchester basi baada ya game ya Man City ubingwa upo. na isipokuwa hivyo siwi mshabiki tena wa mpira Ubingwa upo palepale roho zitawauma tu ubingwa upo palepale. bora wajigambe Watford ba Point tatu kuliko Man U wangejigamba na point 1.
sisi Arsenal ndio wakula mapaja wewe,wewe huna hadhi ya kula mapaja,Uyu kuku aliyechinjwa jana tunamlaje wakuu..
Mim napendekeza tumle ivi..
Sisi waombolezaji kutoka Chelsea kutokana na hadi yetu tutakula upaja na mgongo.
Wale wa arsenal wao miguu pa1 na firigisi zinawatosha.
Wale wa Man u wao watakula utumbo na kichwa.
Wale wa spurs na man city wao watagawana vipapatio na maini..
Sehemu ingine iliyobakia watapewa wale wadhamiaji wa msiba kutoka club zingine..
Hii ndivyo tunavyomla uyu kuku..
Asanteni mnakaribishwa nyote..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
na kweli hiyo ni rekodi hahahahahahaaaaaaaTumeweka rekodi . Haitavunjwa abadan.
sahihi mkuu,poleni sanaKlopp anajua nani acheze kuliko sisi!
Imefungwa Liverpool na pls Liverpool halisi epukeni na kutaja wachezaji fulani kama hawa ndiyo wametufungisha bali iwe tumefungwa wote
Sent from my iPhone using JamiiForums