Eti Ooh Unbeaten Ya Arsenal Ilikuwa Na Droo Nyingi, Sasa Kama Kutoa Droo Ni Kitu Rahisi Si Mngetoka 3-3?!!
Aise vipi bado nakula kuku tu njomba. Ungo wangu upo garage kwa matengenezo safari za Alaska to London zinakuwa ngumu kidogo, lakini tuombe Mungu tu maintenance ya hali ya juu inafanyika soon and I mean very soon matengenezo yatakwisha. Tunawaombea Coronavirus isiingie UK maana kuna taarifa huenda EPL ya msimu huu ikabatilishwa, itakuwa ni aibu na mkosi mkubwa kwa Loserfools ….... …..Unakumbuka SG pale Chelshit alivyoteleza na kuwanyima EPL ya kwanza then last year Mancs. I hope this bloody coronavirus does not deny your first EPL title.
70 kwa coutinho?.........Barcelona wonna count thier losses and this June atakua available for a fee around £70m hivyo Klopp should get the boy arudi nyumbani...
Bavarians wanakomaa na Sane hivyo sioni wakitoa hio pesa...
YNWA
Yes ndugu ndio bei ya sasa sisi tulimuuza £146m sasa Barcelona hawana kazi nae tena...70 kwa coutinho?.........
Hahahaha guys were watching seriously we taste defeat watue hapa mazima full throttle haha... N they have come in plenty..Ukiwa na timu mbovu inayofungwa mara kwa mara huwezi kuwa na maadui. Mfano wa Man Utd Arsenal na Chelsea; kwa nini uwachukie?
Ukiwa unafanya vizuri sana lazima utengeneze maadui. Hakuna mpinzani anayependa kuona mwenzake anashinda kila mara.
So, chagu moja; ufanye vizuri uwe na maadui au uwe average au below usiwe na maadui.
how old is he?...... anyway, sioni cou akirejea pool japo nilimpenda sanaYes ndugu ndio bei ya sasa sisi tulimuuza £146m sasa Barcelona hawana kazi nae tena...
Kwa hio bei aje tu...
YNWA
Boy must be around 27/28...how old is he?...... anyway, sioni cou akirejea pool japo nilimpenda sana
Sorry bro hapo nimeona umeandika viatu vya keita kwani keita kaacha viatu gan mpaka sasa [emoji848]..!!maana ukichukua first eleven ya msimu huu mara nyingi ye anaanzia benchi ..Harry viatu vya Keita haviwezi, we need a real baller...
Why not go for Coutinho Hahaha bei chee kabisaa...
YNWA
Meant inshort Harry is overrated and he can't be Keita replacement we should aim for a much better player than him like Coutinho...Sorry bro hapo nimeona umeandika viatu vya keita kwani keita kaacha viatu gan mpaka sasa [emoji848]..!!maana ukichukua first eleven ya msimu huu mara nyingi ye anaanzia benchi ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha tunza hii kometi bayani tunamla kichwa.
Kama klopp anawapa wachezaji mazoezi magumu unategemea watapona? Dakitari kaona anapoteza muda bora asee zakeKama wachezaji hawaponi kabisa itakua bora aende tu
Mi navyoona unaposema Harry kuwa kumreplace Keita wakati ye hajaonesha kile tulichotarajia zaidi ya injuries Kila baada ya muda ...sidhani kama unaweza kumuweka Harry mbadala wa keita maana hata first eleven kuanza ni kwa mbinde ...Harry bado mchezaji wa liver akija atasugua benchi tu kama Keita so labda replacement ya Keita huko benchi...hapo sawa.Meant inshort Harry is overrated and he can't be Keita replacement we should aim for a much better player than him like Coutinho...
YNWA