Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mi navyoona unaposema Harry kuwa kumreplace Keita wakati ye hajaonesha kile tulichotarajia zaidi ya injuries Kila baada ya muda ...sidhani kama unaweza kumuweka Harry mbadala wa keita maana hata first eleven kuanza ni kwa mbinde ...Harry bado mchezaji wa liver akija atasugua benchi tu kama Keita so labda replacement ya Keita huko benchi...hapo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Oook hapana Harry ni Mchezaji wa kawaida minus his dead balls accuracy ila akija ni bench warmer hivyo kama Bono wakileta mkwaja tuchukue mapema wapo wachezaji wazuri tu Wa kusapoti benchi letu Kwa bei chee kama Emiliano wa Norwich...

Ila kama ni proper upgrade wapo wachezaji level za juu kama Fekir, Coutinho, Kai nk..

YNWA
 
IMG-20200301-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
I swear bro.... it was a horror movie starring a man-eating monster from Croatia!!
Hahaha that would be the self proclaimed best cb in th world...

Him aside though boys not firing in the right direction all over the pitch...

Perhaps our usual Jan and Feb form has now caught up with us kaka...

The good thing is the gap is quite a catch even with Manchester City standards and that is just fabulous man...


Otherwise the boys has done us proud regardless of the Honets result..


We forgot how its feels to lose in EPL man its must have been hurting for Arsenal, Chelsea, Manchester United fans nk all the losses they have suffered this season lol no wonder they invaded this forum when we lost to at least remind us they ain't gone rather they banned themselves as we swept thier teams aside...

We have slipped but not fallen and we will respond in the coming games accordingly that what is Liverpool...

YNWA
 
Kwa mawazo yangu nadhani Sababu kuu ya Liverpool kufungwa sasa ni UCHOVU & MENTALITY ya wachazaji.

1. UCHOVU:- Wachezaji wa Liverpool wametumia nguvu kubwa sana kwa kipindi kirefu kushinda mechi. Mfano kule mbele magoli yanayofungwa ni ya kutumia nguvu sana.

Mara Salah kakokota, speed kali, kupambana na mabeki, huku kavutwa, ukija kwa mane magoli anayofunga ni zaidi ya vita anapambana nguvu nyingi mpaka na maserekasi aisee.

Achilia mbali nguvu wanayotumia mabeki kukaba na kupanda kushambulia kwa kasi na kurudi fasta kukaba.

Kwa muda uliobaki mchezaji mzuri utamuona mbaya kwa sababu ya UCHOVU, wengi hawatacheza katika kiwango bora.

2. MENTALITY:- Hili liko wazi wachezaji wanafahamu Liverpool tayari ni bingwa EPL msimu huu. Wanasubiria tuu muda ufike wabebe ndoo. Hawaoni haja saaana kuendelea kutumia energy kuuuuuubwa kumalizia mechi zilizobaki.

Ila Liverpol angekuwa anafukuzwa hapo nyuma kwa tofauti ya point chache, weee wachezaji wasingebweteka jana Watford angekula marungu ya kutosha.

Nadhani mashabiki muendelee kuwashangilia kuelekea mwisho mzuri wa kusisimua kubeba kombe. Sioni haja ya kuwasema, kuwakosoa zaidi ya kuwapongeza tuu kwa kazi waliofanya.

Aisee wanaume wametoka mbali kufukuzia huu ubingwa. Wanastahili pongezi kila siku.

Halafu wewe king Ngwaba dawa yako inachemka msimu ujao, umetusema sana kule SHUBAAAMIT zako.

Sent using Cash Money Wings
Hiyo sababu ya kwanza ni sawa sawa ila hiyo ya pili ni big NO.
Fikiria tena,labda ungesema tu ni matokeo au sehemu ya mchezo.......ukiangalia katika game 3 za nyuma dhidi ya Norwich,Atletico na Westham unaona kabisa kuwa kuna jambo linalokuja kutokea mbele ambalo ni zuri kwa sisi washabiki wa Arsenal.......

Usifanye masihara linapokuja suala la kuvunja rekodi na wewe ukawa sehemu ya historia hiyo,wazungu wenzetu wanajali sana hii kitu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikosi cha Kwanza cha Liverpool:

1) Alisson
2) TAA
3) Gomez
4) VVD
5) Robbo
6) Faby
7) Hendo
8) Gini
9) Salah
10) Bobby
11) Mane

Subs:
OX
Keita
Origi

Sioni subs nyengine inayoweza kubadilisha chochote zaidi ya hawo 3

We've a very limited squad

- Salah tayari ameshapoteza Half of his Skills
- Firmino not the one we used to know! Technically ameanza kupungua
- Mane ndiyo 100% amebakia kuwa Mane himself! He's still a threat kwenye lango la opponents.

Next Window One Attacking Midfielder na One Striker wanahitajika ili tubaki salama.

Tukumbuke kuwa sasa ni wakati wa kuaccept the truth kwamba KEITA and OX ni failed project. I've no doubt kuhusu Vipaji vyao, but my concern ni injury prone zao ndizo zinazofanya availability yao kuwa ni disadvantage rather than advantage.
Real.
Na hili ndilo la msingi hasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa kumbe wewe arsenal...hahhaaha

Endeleeni kupambana huko chini wehu nyinyi, acheni wanaume tupambane huko juu, nyau nyie, yani mnapambana nafasi ya kumi huko halafu mnapata muda wa kuwacheka liverpool wanaochukua ubingwa wa epl mwaka huu, nyie kweli wendawazimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nyumbu unafanya nini hapa????mbona hii dunia haiishi vituko jamani?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malaria huanza kwa maumivu ya kichwa na vihoma vya hapa na pale. Ubingwa utachukua bila ubishi ila ilikua ni dharau kwa ligi ya EPL umalize hujaguswa. Jiandae cha pili au cha tatu kinafuata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwema aaa niaje darajani.... Mbona Ollachuga Oc ulimuachaga peke yake humu....

Ubingwa hauzuiliki kutua Anfield msimu huu hata corona akitua upo uwezekano tukapewa kombe lote mapema kabisaaaa...

YNWA
 
VVD anakukoseshaga raha mwamba he is total above your racks there at the back.View attachment 1373604 haya mbishie na Troy basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha imenikumbusha vs Spurs 2017 walim target Lovren na tulikufa 4 aisee pia vs Manchester United 2018 walimtarget huyo huyo...

Without looking at the other players Lovren makes the back 3 feel a bit uneasy... Boy is prone to mistakes...

But then we ain't clicking in the right channels in every position, our front 3 pia all together are passing that dry spell lol God's knows when all will pull all cylinders tuanze upya kufunga...


Sasa nimeamini Laporte have costed Manchester City ubingwa wao msimu huu hakuna kingine..

Omitting one super player kama Gomez and Laporte has drastically costed this kind of scenarios...

Well losing might be at last do us some good ipelekee the management to fund Klopp and be able to equip the bench na wachezaji sahihi sio hawa tulionao kwa sasa...

What's happening with Fabby guys baada ya ile lay off boy is not up there in terms of what's we are used to...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom