Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Mimi nilikuwa shabiki jana tu,wakifungwa sihusiki 😂😂😂
Hahaha, wakishindavuko nao, wakifungwa unawaachia timu yao.
Mimi nilikuwa shabiki jana tu,wakifungwa sihusiki 😂😂😂
Please Kop!!!Please Kop!!!@
Tusilalamike sana,Tusiwatukane wachezaji wetu,Tusimtukane Manager ,Walipotufikisha ni Mbali.Tuwape Respect.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna uadui katika michezo mkuu,huo ndio ushabiki mzee so kuwa mpole tu?
hakuna uadui katika michezo mzee?mkae mtulie,mmechonga sana ...katika michezo kuna tambo na majigambo tu ambayo upande mmoja unakuwa na furaha na mwingine ni kero...........Ukiwa na timu mbovu inayofungwa mara kwa mara huwezi kuwa na maadui. Mfano wa Man Utd Arsenal na Chelsea; kwa nini uwachukie?
Ukiwa unafanya vizuri sana lazima utengeneze maadui. Hakuna mpinzani anayependa kuona mwenzake anashinda kila mara.
So, chagu moja; ufanye vizuri uwe na maadui au uwe average au below usiwe na maadui.
hakuna uadui katika michezo mzee?mkae mtulie,mmechonga sana ...katika michezo kuna tambo na majigambo tu ambayo upande mmoja unakuwa na furaha na mwingine ni kero...........
hahahhahahahahahahhahaha
Uyu kuku aliyechinjwa jana tunamlaje wakuu..
Mim napendekeza tumle ivi..
Sisi waombolezaji kutoka Chelsea kutokana na hadi yetu tutakula upaja na mgongo.
Wale wa arsenal wao miguu pa1 na firigisi zinawatosha.
Wale wa Man u wao watakula utumbo na kichwa.
Wale wa spurs na man city wao watagawana vipapatio na maini..
Sehemu ingine iliyobakia watapewa wale wadhamiaji wa msiba kutoka club zingine..
Hii ndivyo tunavyomla uyu kuku..
Asanteni mnakaribishwa nyote..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, wakishindavuko nao, wakifungwa unawaachia timu yao.
Huyo jamaa ndo walewale Kloop anajua zaidi wala usijipe tabuLovren sio beki imara.
Gomes aliweza kumpa TAA nafasi ya kujiamini na kupeleka team mbele.
Ox sio mido sahihi.
Tena wakiifunga liver au chelsea ndo inakua team yangu 😂😂😂
Wakifungwa ndio sihusiki nayo kabisaaaa
Yani huyo jamaa sijui shida ni nini! Nashindwa kuelewa.
Na cha ajabu Mimi hata simquote wala simjadili lakini yeye haridhiki kama hajanitaja.
Au anahisi hapa tunagombania umaarufu?
Nadhani afahamu kuwa JF mimi sijuilikani nyuzi yoyote isipokuwa Nyuzi hizi za Michezo.
Kwenye Nyuzi nyengine hata hawajuwi kama kuna Mtu anaitwa King Ngwaba.
Basi na aende tu huko kwenye nyuzi nyengie akajitangaze awe maarufu.
nakubaliana na wanasosema LFC ilikuwa haina fikra ya kutofungwa japo wachezaji walikuja kuwa nayo sabababu media bdio wenye kuongea hayo zaidi, mpaka wachezaji wa LFC wanaweza kuwa wakawa nayo ndomana walikuwa wanacheza pasi za taratibu, ila mashabiki wa LFC wanafikiria kombe zaidi, sasa ile kutofungwa imetoka moto unaokuja wa wachezaji kucheza kwa kasi utakuwa mzuri game tatu mfululizo ushindi muhimu na utakuja kila game sio chini ya goli mbili mtaona wenyewe kama sio ubingwa Manchester basi baada ya game ya Man City ubingwa upo. na isipokuwa hivyo siwi mshabiki tena wa mpira Ubingwa upo palepale roho zitawauma tu ubingwa upo palepale. bora wajigambe Watford ba Point tatu kuliko Man U wangejigamba na point 1.
Zoezi lipi vile Don Clericuzio ?Wewe lile zoezi letu ni gumu kulitekeleza.
Zoezi lipi vile Don Clericuzio ?
Nililielewa na nimelizoea,siku hizi sipati shidaLa kukwepa kuumizwa na matokeo ya hizi timu.
Kufungwa na watford kumeniuma sana kwa kweli hizi game 3 za mwisho sijui tatizo ni nini?
Timu sasa ndo inaenda kucheza mpira halisi siyo tena ku-defend au break a record ... we are going to start another new record