Wale ndugu zangu msiojua jina la utani la Watford ni Hornet ndio huyu View attachment 1373413View attachment 1373416

Halafu watu wanafiki, eti leo ndio wanaweka profile picture ya wachezaji wa watford...
Pumbavu mbona alivyowashwa na man utd juzi kati hamkuweka picha zao wehu nyinyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Andika vizuri kwanza basi Mkuu,Unakimbilia nini kuandika wakati Smartphone ni yako.Acha pumba weee mishara isingetofautiana kama kweli wana michango sawa mbivu anatukanwa tu huo ndo ushabiki juzi ulisema Keita hafai au sio wewe jana asie faa nani?
Ulikuwa unapenda sana kunitusi na kunionesha maneno ya dharau, na kibaya unayaongelea kwa muendelezo, deep in me nilikuwa naumia uku nikijua am 100% right, ila we unaongea sana ukijua yur100% right but mi nikiona your thinging is normal na ile ya kawaida kwa kuangalia matukio tu
But nafrah unaendelea kupata funzo dunia haiko hivyo kama unavyoona, lazima kuna reasoning ya matukio tofauttofaut na kuangalia kila dot na sio kuamini katika stats uchwara zako zinazokuendesha
Ukijiskia vibaya sorry, but ndo nilitaka uelewe tu hilo, yur not clever as you think, na kuwa na mapenzi haimaanishi unajua, same as to Gerrard, kuwa na mapenzi na tactics ni vitu viwili tofaut
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale ndugu zangu msiojua jina la utani la Watford ni Hornet ndio huyu View attachment 1373413View attachment 1373416
Huyu ni Nyuki?
Amkeni muendele na sherehe ya ushindiSisi mashabiki Watford tuendelee kulala au tuamke Kama Kuna mjadala?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Ooh Unbeaten Ya Arsenal Ilikuwa Na Droo Nyingi, Sasa Kama Kutoa Droo Ni Kitu Rahisi Si Mngetoka 3-3?!!
We hizo comment zao zisome kwa makini ndio utajua kwanini watu wanasema usiongee sana ukiwa na hasira,
Wewe apo unae lazimisha nimkubali HendoAndika vizuri kwanza basi Mkuu,Unakimbilia nini kuandika wakati Smartphone ni yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
He....mumekuwa kama Yanga sasa ,Malalamiko fc .......sasa kwanini na wewe usingekaa nyuma wote 11 ili usipigwe 3 buyu?Sasa hivi timu pinzani wametujulia wachezaji 10 wanakaa nyuma wanazuia tu. Kama watapata nafasi wanaenda kushambulia.
Muda mwingi mpira tunaosisi wao wanatusubiria golini tu pale tukifika hapo wao wako 10 sisi 4 tu.
Hapo sasa kupata shot on target ni ngumu ,mipira mingi ikipigwa inazuiliwa.
Mkuu me naamini tunaenda kuanzisha record nyingine,watu wanashangilia wakiamini record ya Arsenal aijafikiwa ndio basi kama hakuna tena ligi.nawakati liverpool anaenda kuanza kutengeneza record upya tena.
KupotezA hiyo mechi imetupa funzo sana sasa tupambane na mbinu za timu zinazokaa tu nyuma wachezaji 10 wote.maaan kwenye kucheza mpira wote tumewazidi hawatuwezi wanakimbilia kukaa nyuma wachezaji wote.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi nimekulazimisha umkubali Henderson,Nimekulazimisha vipi,Au kuna sehemu yoyote niliyoku QUOTE nikikulazimisha umkubali Henderson.Wewe apo unae lazimisha nimkubali Hendo
Upo sahihi mzee,kiukweli mimi naamini wachezaji hawa wanasumbuliwa na fatique......maana wametumika almost msimu mzima kupumzika kwao ni pale wanapokuwa majeruhi tu,na mchoko huu wameupata katika nyakati ngumu za ligi,nyakati ambazo kuna vita kuu mbili,Kuna mashabiki wa Makundi 2
1) Wale Wanaoona kutokuwepo kwa Hendo ndiyo sababu ya Timu kuborong
2) Wale wanaoona ni overall performance ya Timu ipo chini ndiyosababu ya Timu kuboronga.
Third, Fourth or more groups are negligible.
But narudi tena kwenye stats, Mimi ninachoamini ni kuwa number don't lies.
Without stats no real football.
Tuanze kuangalia hapa ili tujuwe kama hizo sababu za hayo makundi mawili ni sahihi or just ni emotions tu.
1) Tulicheza na ATM tukiwa na kikosi kamili! Henderson in, Lovren kwenye bench.
But tulifungwa na tukatoka na ZERO SHOT ON TARGET.
2) Tukacheza na West Ham without Henderson, na Lovren alikuwa Benchwarmer, but tuliconcede 2 goals, tulishinda hiyo game with 7 ON TARGET.
3) Tumecheza na WATFD bila ya Henderson, but Lovren alikuwemo uwanjani! Tumefungwa 3 - 0, tukipiga only ONE ON TARGET.
Katika michezo 3 tumepiga On Target 8 tu kwa ratio ya 2.67 per game.
Je hapa hatuoni kuwa hata kwenye Front 3 yetu kuna tatizo?
Kwanini tunainyooshea kidole Mido na Defence tu?
Hivi kinachomaanishwa ni kuwa Front 3 yetu ni untouchable?
Au bado Watu wanaendelea kulishana matango pori kuwa hakuna mchezaji anayeweza kupata namba mbele ya Front 3 yetu?
Mimi nadeclair wazi kuwa Front 3 yetu ni nzuri lakini ni OVERRATTED.
uwezo wao ni wa kawaida isipokuwa Klopp system ndiyo inayofanya kazi, Wako sahihi wanaosema mchezaji kama Firmino ni System player ambaye nje ya Klopp system anakuwa exposed.
Nimeyaandika haya ili kuonesha kuwa hakuna haja kumnyoshea kidole mchezaji mmoja mmoja bali tatizo ni kwamba Timu nzima ina underperform huo ndiyo ukweli.
Naamini tutarejea kwenye Form but tuwe wastahamilivu.
ukweli ambao wengi hatutaki kuukubali ndio huo mkuu........Kuna mashabiki wa Makundi 2