VVD yule wasipomuuza msimu huu msimu ujao ata floap kinoma nomaYaani wanajidai hawajaona maboko ya VVD, utasikia wanamlaumu Lovren tu
Sent using Jamii Forums mobile app

wewe siku utapoacha kuvuta bange ndio utakapoacha kushabikia Chelsea,maana hizo ganja ndio zinakufanya uione hiyo chelsea kama barcelona😀😀😀 na hili turubai tukilitoa hapa linahamia kwako ,maana bavarian lazima wakutindue.....
London is Red
Kuna mashabiki wa Makundi 2
1) Wale Wanaoona kutokuwepo kwa Hendo ndiyo sababu ya Timu kuborong
2) Wale wanaoona ni overall performance ya Timu ipo chini ndiyosababu ya Timu kuboronga.
Third, Fourth or more groups are negligible.
But narudi tena kwenye stats, Mimi ninachoamini ni kuwa number don't lies.
Without stats no real football.
Tuanze kuangalia hapa ili tujuwe kama hizo sababu za hayo makundi mawili ni sahihi or just ni emotions tu.
1) Tulicheza na ATM tukiwa na kikosi kamili! Henderson in, Lovren kwenye bench.
But tulifungwa na tukatoka na ZERO SHOT ON TARGET.
2) Tukacheza na West Ham without Henderson, na Lovren alikuwa Benchwarmer, but tuliconcede 2 goals, tulishinda hiyo game with 7 ON TARGET.
3) Tumecheza na WATFD bila ya Henderson, but Lovren alikuwemo uwanjani! Tumefungwa 3 - 0, tukipiga only ONE ON TARGET.
Katika michezo 3 tumepiga On Target 8 tu kwa ratio ya 2.67 per game.
Je hapa hatuoni kuwa hata kwenye Front 3 yetu kuna tatizo?
Kwanini tunainyooshea kidole Mido na Defence tu?
Hivi kinachomaanishwa ni kuwa Front 3 yetu ni untouchable?
Au bado Watu wanaendelea kulishana matango pori kuwa hakuna mchezaji anayeweza kupata namba mbele ya Front 3 yetu?
Mimi nadeclair wazi kuwa Front 3 yetu ni nzuri lakini ni OVERRATTED.
uwezo wao ni wa kawaida isipokuwa Klopp system ndiyo inayofanya kazi, Wako sahihi wanaosema mchezaji kama Firmino ni System player ambaye nje ya Klopp system anakuwa exposed.
Nimeyaandika haya ili kuonesha kuwa hakuna haja kumnyoshea kidole mchezaji mmoja mmoja bali tatizo ni kwamba Timu nzima ina underperform huo ndiyo ukweli.
Naamini tutarejea kwenye Form but tuwe wastahamilivu.















Ukiwa na timu mbovu inayofungwa mara kwa mara huwezi kuwa na maadui. Mfano wa Man Utd Arsenal na Chelsea; kwa nini uwachukie?
Ukiwa unafanya vizuri sana lazima utengeneze maadui. Hakuna mpinzani anayependa kuona mwenzake anashinda kila mara.
So, chagu moja; ufanye vizuri uwe na maadui au uwe average au below usiwe na maadui.
Hahah labda kama hujakutana, mi wamenidhihaki sana kwenye group za mpira.Mpuuzi gani huyo aliyetoa hiyo kauli ya kijinga hahahahahahaha droo sio rahisi kama anavyofikiria,twa twa twa twa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ilo gape linapunguzwa tu ..Kila kitu kinawezekana mikakati ipo..Upo sahihi mzee,kiukweli mimi naamini wachezaji hawa wanasumbuliwa na fatique......maana wametumika almost msimu mzima kupumzika kwao ni pale wanapokuwa majeruhi tu,na mchoko huu wameupata katika nyakati ngumu za ligi,nyakati ambazo kuna vita kuu mbili,
1.Kuna wale wanaojikwamua kushuka daraja.
2.Kuna wale wanaopambania big4.
Jambo la kushukuru hapo ni kuwa mmeshajihakikishia ubingwa lakini kama kungekuwa na gape la points 5 au 6 hata huu ubingwa wenyewe ingekuwa ngumu sana kuuongelea.
NB:Halisi tupo msitusahau
Sent using Jamii Forums mobile app


Mesa hamuwezi kuipindua mkuu.hahahaaaaaaaaaHahahahahaha kwanza unaivunjia hesima London ..haiwezi kuwa red hata Siku moja, umesahau kwamba sisi ndo KING of LONDON wa muda wote? Futa iyo kauli yako ya 'London is red' maana ni kosa la jinai kufanya ivyo.
Pili sisi tunaenda kupindua Mesa pale alianz maana tuna recod ya kubeba ubingwa pale..
Tuna uhakika game utakuwa ngumu sana..
Bila kutarajia tunaeza shinda nne pale. Maana wal e madingi watacheza kwa kurelax then sisi tutafanya kweli apo apo..
This is Chelsea
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Respect Man united Don sisi ndiyo tuliyewazuia msiwe na 100% win kwenye mechi zote mlizocheza.
Mtoeni Chelsea kwenye FA tukutane tena tulipe kisasi cha kutufunga pale Anfield.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribuni tena na tena....Football gods hawakutaka tuivuke hii record ya City, 18 straight wins. Ndiyo maana hata tulipotaka kuivuka tumekutana na dhahama.



nilicomment hata kabla goli la 2 halijaingia!Mara ngapi?