Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool HALISI haina maana yyt ya kuanza kukashifu wachezaji,waache Liverpool feki wafanye hivyo!
Sisi tushikamane,tunarudi Anfield kujipanga

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Klopp anajua nani acheze kuliko sisi!
Imefungwa Liverpool na pls Liverpool halisi epukeni na kutaja wachezaji fulani kama hawa ndiyo wametufungisha bali iwe tumefungwa wote

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nakubaliana na wanasosema LFC ilikuwa haina fikra ya kutofungwa japo wachezaji walikuja kuwa nayo sabababu media bdio wenye kuongea hayo zaidi, mpaka wachezaji wa LFC wanaweza kuwa wakawa nayo ndomana walikuwa wanacheza pasi za taratibu, ila mashabiki wa LFC wanafikiria kombe zaidi, sasa ile kutofungwa imetoka moto unaokuja wa wachezaji kucheza kwa kasi utakuwa mzuri game tatu mfululizo ushindi muhimu na utakuja kila game sio chini ya goli mbili mtaona wenyewe kama sio ubingwa Manchester basi baada ya game ya Man City ubingwa upo. na isipokuwa hivyo siwi mshabiki tena wa mpira Ubingwa upo palepale roho zitawauma tu ubingwa upo palepale. bora wajigambe Watford ba Point tatu kuliko Man U wangejigamba na point 1.
 
Sio ishu ya plastics fan. Ila kati hakuna kitu no tackling kabisa. Wapinzani wanapita kama wanatembea bustanini. Na vyote hivyo vya alikuwa anafanya hendo sema kama kawaida yenu mnasemaga ooh hakuna kitu anafanya. Na mpk arudi tutakuwa tumeshazalilishwa vya kutosha.
Next chelsea FA...
Mwacheni HENDO aitwe hendo.
Ile 2014 alivyopewa red mechi ya city....next game vs chelsea tukatepeta mpk gerrald akateleza..
Mechi ya ATM inabidi kloop ampige sindano la sivyo tunakula 2 kavu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa Brother mbona juzi tu Atletico walitufunga tukiwa na Huyo Henderson?
Tena hatukupiga On Target hata moja!
Kwanini ije iwe ajabu kutifunga tena tukiwa hatuna Henderson?

Tuwache Visingizio! Tukubali tu tokea turudi mapumziko tumekuwa wabovu.
 
You can go to win your first Premier League but remember there is only one INVINCIBLEs. Y'all need to put the respect on our name. Liverpool couldn't even go 49 games unbeaten. Still on Arsenal shadows.

"Heshima tunaiweka kwa Wenger na Arsenal Invincible"

Hili ni Funzo kwa washabiki wezangu waliomu-underestimate Mzee Wenger
 
We jamaa uko so obsessed na Ngwaba.

Yani huyo jamaa sijui shida ni nini! Nashindwa kuelewa.
Na cha ajabu Mimi hata simquote wala simjadili lakini yeye haridhiki kama hajanitaja.

Au anahisi hapa tunagombania umaarufu?

Nadhani afahamu kuwa JF mimi sijuilikani nyuzi yoyote isipokuwa Nyuzi hizi za Michezo.

Kwenye Nyuzi nyengine hata hawajuwi kama kuna Mtu anaitwa King Ngwaba.
Basi na aende tu huko kwenye nyuzi nyengie akajitangaze awe maarufu.
 
Ajabu sana aisee,
 
KUNA SABABU HIZI ZINATOLEWA KUWA NDIYO CHANZO CHA SISI KUFUNGWA NA WATFORD

1) Lovren Kucheza CB
2) Kutokuwepo Gomez kwenye game
3) Kutokuwepo Henderson kwenye game

√ Kama sababu ni Hizo kwanini Napoli alitufunga?
√ Kwanini Atletico alitufunga?
√ Kwanini kabla ya Gomez kurudi uwanjani mwanzoni mwa msimu huu tulishinda mechi kadhaa tukiwa na Lovren kwenye CB?

Mimi kwa Mtazamo wangu basi sikubaliani na Hizo sababu hata Kidogo.

Ukweli usiofichika ni kuwa Timu nzima ina tatizo kwa kipindi hichi cha mpito.

Na kikubwa zaidi Front 3 yetu imeonesha dalili za kuchoka.

Kwahiyo kitu pekee cha kushukuru ni kwamba yanatokea haya tukiwa tayari tupo katika position nzuri ya kubeba EPL
 
nakubaliana na wanasosema LFC ilikuwa haina fikra ya kutofungwa japo wachezaji walikuja kuwa nayo sabababu media bdio wenye kuongea hayo zaidi, mpaka wachezaji wa LFC wanaweza kuwa wakawa nayo ndomana walikuwa wanacheza pasi za taratibu, ila mashabiki wa LFC wanafikiria kombe zaidi, sasa ile kutofungwa imetoka moto unaokuja wa wachezaji kucheza kwa kasi utakuwa mzuri game tatu mfululizo ushindi muhimu na utakuja kila game sio chini ya goli mbili mtaona wenyewe kama sio ubingwa Manchester basi baada ya game ya Man City ubingwa upo. na isipokuwa hivyo siwi mshabiki tena wa mpira Ubingwa upo palepale roho zitawauma tu ubingwa upo palepale. bora wajigambe Watford ba Point tatu kuliko Man U wangejigamba na point 1.
Ubingwa upo bila shaka.
Tutaupata kwa jasho.
1: Timu pinzani zitajua liver anafungika.
2: Hofu/ mashaka yatawapata wachezaji
3: Jinamizi halitatoka mapema.
4: Media zitampigia debe Sana Capt .
5: Gomes,ni Msaidizi mkubwa wa VVD :Chambo is not serious enough.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom