dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
nadhan hata salah ilikua hivo hivo! watu hawakua wanamwamini mpk akaitwa one season wonder!Kuna wanao amini huyo Warner ni bonge la mchezaji ila mimi nnashaka sana juu ya uwezo wake
nadhan hata salah ilikua hivo hivo! watu hawakua wanamwamini mpk akaitwa one season wonder!Kuna wanao amini huyo Warner ni bonge la mchezaji ila mimi nnashaka sana juu ya uwezo wake
Malaria huanza kwa maumivu ya kichwa na vihoma vya hapa na pale. Ubingwa utachukua bila ubishi ila ilikua ni dharau kwa ligi ya EPL umalize hujaguswa. Jiandae cha pili au cha tatu kinafuata.Inaonesha hii siku ulikuwa ukiisubiri kwa hamu
Mkuu yani unaumia kufungwa jana tu? Kwa hiyo wewe ulidhani hautafungwa kabisa? Kwa ligi gani unayocheza?Siku ya Kubeba Kombe la EPL haya maumivu ya Leo yote nitayasahau


Mkuu yani unaumia kufungwa jana tu? Kwa hiyo wewe ulidhani hautafungwa kabisa? Kwa ligi gani unayocheza?
Dunia haiishi vituko
Sent using Jamii Forums mobile app
Harry viatu vya Keita haviwezi, we need a real baller...Naby keita I think we need to sell him out......Always injuried.......Always injured ......Harry Wilson anatosha kuwa replacement for him......Keita can't handle the Premier league.
Harry viatu vya Keita haviwezi, we need a real baller...
Why not go for Coutinho Hahaha bei chee kabisaa...
YNWA
Cant say otherwise...Harry Wilson will never be naby replacement
Anyone thinking like that ana shida ya kujua mpira
Barcelona wonna count thier losses and this June atakua available for a fee around £70m hivyo Klopp should get the boy arudi nyumbani...Coutinho ninatamani kumwona tena, arudi tupige kazi.
Barcelona wonna count thier losses and this June atakua available for a fee around £70m hivyo Klopp should get the boy arudi nyumbani...
Bavarians wanakomaa na Sane hivyo sioni wakitoa hio pesa...
YNWA
Man game jana sikuoni aisee radi kali sana Tanesco wakachukua umeme wao...it's very painful to watch this game today.
Na Barcelona hawataki arudi sijajua kama kile kipengele cha kutowauzia wachezaji mpaka June 2021 kinatuadhiri sisi kununua kwao ama la otherwise ndogo aje mazima anakaribishwa...Bavarians walishaweka wazi kwamba hawamtaki.
wewe ongea yote ,ita watu wendawazimu lakini maneno yako hayatavunja furaha yangu ya rekodi yangu ya kutokufungwa katika msimu wote wa ligi.....wewe nyumbu huna hata sababu ya kucomment hapa ungetulia tu mbugani.


...
kwa leo sitodeal na wewe nyumbu,kaa utulie mzee...watu tufanye sherehe kwa amani
Hahaha nimesoma mahala eti the boys are so used to winning mpaka wameboeka maana anaewafuata yupo mbali sana nyuma 22 points behind hivyo hawana fear ya kua overtaken any time soon... Pathetic lol...
wewe umenichangia points 4 sasa ni vema ukawa na adabu kijana.......


akina westham
mkuu mimi nina jambo langu hapa hahahahahhahahahahhahah unakumbuka mara ya mwisho uliniambia nini?ulisema kuwa suala la ubingwa wewe huna shida nalo maana tayari ushabeba na huo ndio uhalisia ,ila ulikuwa unataka kuvunja rekodi yangu ya unbeaten hahahahahahahahahahhahah nina furaha sasa maana ndicho ninachoringia kwa sasa
Aaaa Honestly yaani ulisubiri tumepoteze ndio uje ndugu...Sijapita huku mwaka umeisha!
Habari Kaka?


Tiimu zao zinapambana huko nafasi ya kumi huko, wanakuja kuwacheka liverpool wanaochukua ubingwa,
Hata Klopp anasema "I didn't see this coming"... Akimaanisha kile kipigo.. Means alipagawa..Ila Klopp kwa sub za hovyo tu hajambo
Unamtoa Gini unaingiza Lallana wakati timu ipo nyuma kwa goli mbili
Sent using Jamii Forums mobile app