Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,790
- 4,284
Henderson ni beast watu bado hawajajua makocha wanamlendea nini ,ila wao wanajua
Henderson ni beast watu bado hawajajua makocha wanamlendea nini ,ila wao wanajua
mkuu mimi nina jambo langu hapa hahahahahhahahahahhahah unakumbuka mara ya mwisho uliniambia nini?ulisema kuwa suala la ubingwa wewe huna shida nalo maana tayari ushabeba na huo ndio uhalisia ,ila ulikuwa unataka kuvunja rekodi yangu ya unbeaten hahahahahahahahahahhahah nina furaha sasa maana ndicho ninachoringia kwa sasaHahaha, Watford amesababisha hii thread iwe maarufu ghafla.
Mlitukimbia kabisa nyie jamaa.
Kufungwa na watford kumeniuma sana kwa kweli hizi game 3 za mwisho sijui tatizo ni nini?
Timu sasa ndo inaenda kucheza mpira halisi siyo tena ku-defend au break a record ... we are going to start another new record
Wakati arsenal anavunja rekodi wewe ulikuwa unajua chochote kuhusu mpira? Wewe inaonyesha kabisa mpira umeanza kufuatilia juzi kati tu apo 2010/11 ivi ..tena ulikuwa mfata mkumbo tu..wewe ongea yote ,ita watu wendawazimu lakini maneno yako hayatavunja furaha yangu ya rekodi yangu ya kutokufungwa katika msimu wote wa ligi.....wewe nyumbu huna hata sababu ya kucomment hapa ungetulia tu mbugani.


ata iyo rekodi sidhan kna ulikuwa unaijua ..hahaha 

mimi siwezi kukimbia hapa mzee, mimi ni halisi haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHahaha, Watford amesababisha hii thread iwe maarufu ghafla.
Mlitukimbia kabisa nyie jamaa.
Tuna maadui wengi sana you can see thatYani naona kuna wendawazimu nawasoma wanawacheka liverpool kufungwa, mimi ni man utd lakini sidhubutu kumcheka, wengine hapo timu zao zimetolewa europa wanaugulia maumivu, na wengine hapa ni mabingwa watetezi wa epl iliyopita wanafurahi na wanajua ya kwamba epl ya mwaka huu hawachukui, wengine hapa ni barca wanawacheka liverpool sababu wanakumbuka kipigo cha mbwa mwizi uefa iliyopita na zaidi wanajua ubingwa hispania hawachukui na uefa hawachukui
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuandika ndo uongee na mimiMutabadili maneno yote ila ni kwamba mulitaka kuvunja rekodi ya Arsenal ..imefeli iyo bro..
Ligi mutabeba ila kuna mikakati tunaipanga musibebe..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app

Leo VVD katoa boko ambalo hata Jones hawezi toa asee.
Hahahahaha wanatakiwa wapigwe mechi ijayo tena hawa kenge.
#tubingwa tuchwara
#GGMU
wewe siku utapoacha kuvuta bange ndio utakapoacha kushabikia Chelsea,maana hizo ganja ndio zinakufanya uione hiyo chelsea kama barcelona😀😀😀 na hili turubai tukilitoa hapa linahamia kwako ,maana bavarian lazima wakutindue.....Wakati arsenal anavunja rekodi wewe ulikuwa unajua chochote kuhusu mpira? Wewe inaonyesha kabisa mpira umeanza kufuatilia juzi kati tu apo 2010/11 ivi ..tena ulikuwa mfata mkumbo tu..ata iyo rekodi sidhan kna ulikuwa unaijua ..hahaha
This is Chelsea
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja ikifungwa nitakutafuta 😀 😀 😀
Game 3 zilizopita niliangalia na mshabiki wa Man Utd, nikawa namwambia tayari Liverpool upepo umekata na si muda tutapoteza.
Tusubirie wafungwe kwanzaMimi nilikuwa shabiki jana tu,wakifungwa sihusiki 😂😂😂
10 haya una lingine?Kwahio unafurahia kinyama kwamba rekodi hazijavunjwa ...jana hamjagawa bia za bure kweli mana sio kwa furaha hii
Wewe unashika nafasi ya ngapi ligi kuu epl tuanzie hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app