Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mabingwa uchwaraa. Narudia tena hakuna timu ya hovyo kama liverfools timu uchwara ndo hii kuwahi kutokea pale England.
Mmebahatisha na litimu menu bovu. Hakuna bingwa mbovu atakayewahi kutokea uingereza kama liverfools.
Timu ya hovyo na uchwara ndo hii.
Jiandaeni ndani ya game tatu hizi kwanza ya Leo lazima mtapigwa tu. Ile rekodi ya invisibles ya Arsenal hamuwezi kuvunja kutokana na kua na kikosi uchwara so muache kuota ndoto zenu tata za unbeaten 50 will never happen.

#tubingwa tuchwara. # Henderson for balon dor hahaha kweli mmeishiwa Sera hadi hutu tu hendo mnasema for balon for and PFA.

#GGMU
Point ya msing umetambua kama sisi ni mabingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi Mashabiki wa Liverpool katika sisi ni wachache sana wanaomrate huyo Henderson

Mimi na wengi humu huwa hatumkubali kabisa huyo Jamaa

Manchester United yenu kocha aliewafufua na kuwafikisha hapo mlipo amekuwa kocha hapo kwenu kwa miaka ishirini na sita katika hiyo miaka 26 kachukua UEFA mara mbili tu sasa sijui unapata wapi guts za kusema tuna timu mbovu muda huu

Utani pembeni Henderson ni over rated sana coz ni muingereza ofcoz ni mchezaji mzuri naweza kusema squad player mzuri sana maana hata Ferguson alikua na wachezaji kama Fletcher na pengine angekua ni muingereza wange muoverate sana.
Media za England wamepiga hesabu Liverpool anakua ubingwa halafu wacheza karibia wote wanaofanya vizuri ni wageni so wanamsifia Hendo na kuanza kumfananisha na kina sami hyippia na best Liverpool legends kwa kusema atashinda PFA.
Hendo ni squad player mzuri ila sio mchexaji mkali kama watu wanavyosema na hawezi kupata namba pale Manutd, Mancity , Chelsea, Arsenal wala Leicester city pengine atapata namba Sheffield na Aston villa kwa samata.

Msimamo ni uleule kwamba Liverpool ni mabingwa uchwara hawana hadhi na ubingwa wao hauna mashiko ni ubingwa wa hovyo kuwahi kutokea pale uingereza.

#GGMU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom