FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,922
- 11,314
rekodi gani unayoizungumzia wewe?Wazee poleni ila wala siwacheki nawapa heshima yenu, mmeshaweka rekodi, na ubingwa EPL mnachuku, hilo halina shida, kama kuna wendawazimu ambao wanadhani liverpool hachukui premier league mwaka huu, hao watakua wavuta ganja,
Pia game muhimu ya ku focus ni ya UEFA , kati yenu na A.Madrid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu kirusi angepaswa kuingia apo England lengo ni rekodi yenu ya kukaa miaka 30 bila EPL iyendeleeMimi kwasasa ninachohofia ni huyu mdudu Corona naona anasambaa kama kimbunga
Mara utasikia mikusanyiko imepigwa Ban hapo ndiyo mziki unaanza
rekodi gani unayoizungumzia wewe?
ya city wameifikia hawajaivunja,ya Arsenal hata kuifikia hawajaifikia....labda kama rekodi ya kupigwa 3-0 na Watford katika tarehe 29february ambayo sidhani kama mwakani itakuwepo hivyo itawasahaulisha katika kufanya kumbukizi ya huu msiba.
Huofii kile kipigo cha jana kinaweza kurudi tena? ATL uyo apo, Chelsea uyo apo ..gemu kumi za mwisho lazima mupoteze kama sita ivi au SabaMimi kwasasa ninachohofia ni huyu mdudu Corona naona anasambaa kama kimbunga
Mara utasikia mikusanyiko imepigwa Ban hapo ndiyo mziki unaanza
wewe ongea yote ,ita watu wendawazimu lakini maneno yako hayatavunja furaha yangu ya rekodi yangu ya kutokufungwa katika msimu wote wa ligi.....wewe nyumbu huna hata sababu ya kucomment hapa ungetulia tu mbugani.Yani naona kuna wendawazimu nawasoma wanawacheka liverpool kufungwa, mimi ni man utd lakini sidhubutu kumcheka, wengine hapo timu zao zimetolewa europa wanaugulia maumivu, na wengine hapa ni mabingwa watetezi wa epl iliyopita wanafurahi na wanajua ya kwamba epl ya mwaka huu hawachukui, wengine hapa ni barca wanawacheka liverpool sababu wanakumbuka kipigo cha mbwa mwizi uefa iliyopita na zaidi wanajua ubingwa hispania hawachukui na uefa hawachukui
Sent using Jamii Forums mobile app
Mutabadili maneno yote ila ni kwamba mulitaka kuvunja rekodi ya Arsenal ..imefeli iyo bro..Liverpool ilikua haishindanii rekodi ya kutofungwa
Liverpool inagombania kombe
Waacheni msiwajibu kitu wana hasira sana
Hii team imewaprove wrong muda mrefu
And that is how humans acts generally
Love you all lfc fans
Win or loss we are together [emoji3590]
Ynwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha sawaaaHata kama ni kuishi kwa imani not to this 'ekstent'
Kazi yetu sisi watford ilikuwa ni kuharibu record ya liver baaaasi!!!lakini kombe ni la kwao
kwa leo sitodeal na wewe nyumbu,kaa utulie mzee...watu tufanye sherehe kwa amaniHalafu watu wanafiki, eti leo ndio wanaweka profile picture ya wachezaji wa watford...
Pumbavu mbona alivyowashwa na man utd juzi kati hamkuweka picha zao wehu nyinyi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo rekods zote Chelsea tutakuja kuvunja..
kamati ya roho ngumu na mbayaMutabadili maneno yote ila ni kwamba mulitaka kuvunja rekodi ya Arsenal ..imefeli iyo bro..
Ligi mutabeba ila kuna mikakati tunaipanga musibebe..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lovren hausiki. Msitafute mbuzi wa kafara. Mido iko uchiD
Tatizo Leo ni Lovren na Ox.
labda mvunje ungo.Apo rekods zote Chelsea tutakuja kuvunja..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
rekodi gani unayoizungumzia wewe?
ya city wameifikia hawajaivunja,ya Arsenal hata kuifikia hawajaifikia....labda kama rekodi ya kupigwa 3-0 na Watford katika tarehe 29february ambayo sidhani kama mwakani itakuwepo hivyo itawasahaulisha katika kufanya kumbukizi ya huu msiba.
wewe umenichangia points 4 sasa ni vema ukawa na adabu kijana.......Halafu watu wanafiki, eti leo ndio wanaweka profile picture ya wachezaji wa watford...
Pumbavu mbona alivyowashwa na man utd juzi kati hamkuweka picha zao wehu nyinyi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naachaje kuonekana kwenye kilio kama ichi cha kitaifa..Hapa hata Ollachuga bado hatujamuona