MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,545
- 11,661
Guys bado hamjakubali ubora wa Hendo?
Hakuna droo hapa Mkuu.Habari za masiku?
Mpira bado haujaisha! Endelea kusubir, pengine droo inaeza kua ndy matokeo yenu leo
Uandishi kaka...uandishi ni wa msingiTulinusurika kwa West ham kwa uniga wa Fabianski leo tumezama kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeshakua timu ya mtu mmoja tena?Guys bado hamjakubali ubora wa Hendo?
Tusubir matokeo kwanza
Na asemae lisaa 1 mbele ni muongo!Leo ndio leo
Mkuu mmemaliza 1st half bila shot on target hata moja!Nahisi mimi naangalia mpira tofauti na wenu maana game kuanzia dakika ya 35 imeanza kuwa kali na ya spidi.
Nina uhakika hawa wameshafungwa, 45 tayari.
Anacheza dhid ya liverpoolMpaka sasa naona home team shot on target 4 away team shot on target 1.....Sijajua Watford anacheza against team gani
Mara ngapi?unbeaten run or winning run could end today
Mbona Hendo yupo vizuri kuliko LingardUtani pembeni Henderson ni over rated sana coz ni muingereza ofcoz ni mchezaji mzuri naweza kusema squad player mzuri sana maana hata Ferguson alikua na wachezaji kama Fletcher na pengine angekua ni muingereza wange muoverate sana.
Media za England wamepiga hesabu Liverpool anakua ubingwa halafu wacheza karibia wote wanaofanya vizuri ni wageni so wanamsifia Hendo na kuanza kumfananisha na kina sami hyippia na best Liverpool legends kwa kusema atashinda PFA.
Hendo ni squad player mzuri ila sio mchexaji mkali kama watu wanavyosema na hawezi kupata namba pale Manutd, Mancity , Chelsea, Arsenal wala Leicester city pengine atapata namba Sheffield na Aston villa kwa samata.
Msimamo ni uleule kwamba Liverpool ni mabingwa uchwara hawana hadhi na ubingwa wao hauna mashiko ni ubingwa wa hovyo kuwahi kutokea pale uingereza.
#GGMU