Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,758
Na bado ..mkakati ni kuhakikisha hii Liverpool awabebi EPL kabisa ..kama akina Gerald na Kuty Liverpool bora kabisa ilishindwa kubeba EPL ..hii Liverpool yenye watoto walaini walaini kama akina mane na salah wake wabebe kirahisi tu?
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ni kuishi kwa imani not to this 'ekstent'
Kazi yetu sisi watford ilikuwa ni kuharibu record ya liver baaaasi!!!lakini kombe ni la kwao


