Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
2020 haijaisha
Na 2015 hakuianza mwanzo
Yote kwa Yote ni kwamba ana rekodi nzuri
2020 haijaisha
Acha usenge katafute bwana akutibu mtu mzima unaongea ujinga nenda kaliwe ukiwa umevaa jezi ya man u mgongoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Dan! Mkuu najua ulikuwa na Hasira lakini Familia ya Wanaliverpool huwa hatutumii kauli kama hizi.
Sisi ni Wafalme wa ustaarabu na ndiyoma tunamaliza msimu wa Ligi bila ya Red Card yoyote ile kwa wachezaji wetu.
Liver haijawah pata reDan! Mkuu najua ulikuwa na Hasira lakini Familia ya Wanaliverpool huwa hatutumii kauli kama hizi.
Sisi ni Wafalme wa ustaarabu na ndiyoma tunamaliza msimu wa Ligi bila ya Red Card yoyote ile kwa wachezaji wetu.
Dan! Mkuu najua ulikuwa na Hasira lakini Familia ya Wanaliverpool huwa hatutumii kauli kama hizi.
Sisi ni Wafalme wa ustaarabu na ndiyoma tunamaliza msimu wa Ligi bila ya Red Card yoyote ile kwa wachezaji wetu.
AB alishakula red wew
Bora sikuhizi umepevuka ulikuwa na mawazo ya kishamba sana ya kujidai mjuaji kuliko JK, hatukatai JK sio Mungu kwamba asikosee anaweza kukosea ila kulazimisha anakosea kila siku kwa kumpa namba Hendo pale ulibugiDah! Humu sikuhizi kuna mijadala mitamu sana ya kujadili kuhusu wachezaje.
Naona Leo mada ni KEITA na HENDO
Lakini sikuhizi sipendi kushiriki kwenye mijadala kama haya ya kutofautiana mitazamo ndiyomana sichangii chochote bali huwa ninasoma cimments ya Watu tu coz kuna watu wame ni demoralize kuhusu kudebate kwa kuniattack.
Na mimi nakuwaga napenda sana mtu a-attack mawazo yangu na sipendi aniattack mimi.
Kwa wale fans wa liverpool....link hiyo WhatsApp Group Invite sana
Bora sikuhizi umepevuka ulikuwa na mawazo ya kishamba sana ya kujidai mjuaji kuliko JK, hatukatai JK sio Mungu kwamba asikosee anaweza kukosea ila kulazimisha anakosea kila siku kwa kumpa namba Hendo pale ulibugi
Nimefurahi Sana Man city kushinda hii mechi,japo ni maadui zetu lkn nimependa walivyionesha dunia kuwa EPL ni ligi Bora now na walio juu sio wanabahatisha ila ni wapambanaji...na kilicho Bora zaidi ni Ramos kutolewa Kwa Kadi nyekundu,kwangu Mimi huyu jamaa ndio alileta mzimu wa matatixo Kwa Salah so sitokuja kumpenda kamwe...
Sent using Jamii Forums mobile app

Naona unanyimwa haki yako ya kikatiba ya kuelezea mawazo yako bila kulazimishwa na mtu yoyoteKwahiyo unatakaje kwa mfano?