Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu kdb aisee huyu mtu anajua physically and mentally ni aina ya wachezaji anakupa ukitakacho ndani ya mechi ngumu na nyepesi...
Assist kufunga kuzuia ni wachezaji wachezaji wachache wenye hivi vitu

Sent using Jamii Forums mobile app

KDB anastahiki kupewa heshima yake ambayo mara nyingi ninaisema hapa kuwa British Media hawajataka kumpa.

Hili shenzi linaujua mpira aisee, tukilipata Kina Mane watafunga mpaka tutachukia
 
Naona unanyimwa haki yako ya kikatiba ya kuelezea mawazo yako bila kulazimishwa na mtu yoyote

Siwalaumu hawa! Bali nalaumu Maafisa Utumishi Kwenye Halmashairi zetu kuwapangia Walimu walioajiriwa Vituo vya kazi bila ya kuwaorient hatimae wanakuwa na attitude mbovu kabisa na Walimu hao kwenye Madarasa yao kuishia kuzalisha products kama hizi za vijana wa JF wasiokuwa na hashima kwa yeyote.
 
KDB anastahiki kupewa heshima yake ambayo mara nyingi ninaisema hapa kuwa British Media hawajataka kumpa.

Hili shenzi linaujua mpira aisee, tukilipata Kina Mane watafunga mpaka tutachukia
Jamaa hatari.

Ile assist ya goli la kwanza ukiangalia akili ilivyotumika, inaweza jenga reli ya umeme dar to kigoma bila mkopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ni mwamba sana.

Aliwaweza kina modric casemiro,.
Ile video akizungumza na JK kabla ya mechi yetu na yao Anfield inapaswa ilete jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo lako Hendo acheze namba ngapi?
Tumesha ambiwa Hendo anamchango mkubwa si uwanjani tu bali nje ya uwanja hivyo usitegemee tutasajili mchezaji wa namba yake atakae mzidi kiwango hilo sahau mkuu.

Timo werner anapigiwa chapuo na vyombo vya habari atue Liverpool sijui kunani mpaka wamsukumie huku?
 
Mkuu yule jamaa alikurupuka tu kucomment na hajui ya kwamba ngono ni zawadi ya Mungu kwa wanandoa na walio nje ya ndoa hawana ruhusa ya kutenda, sasa liverpool ya sasa hivi kushinda ni kawaida tu ni kama ngono kwa wanandoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Neno ngono linatumika kwa ambao hawana ndoa.
Na kwa wenye ndoa linatumika neno tendo la ndoa

Ahaa! Kumbe Waswahili tuna tatizo la kutokijua kiswahili chetu na ndiyomana Captain Marvelous neno Dogo anaita Ndogo, Danadana anaita Ndanadana, Daudi anaita Ndaudi, Dingi anaita Ndingi, na kibaya zaidi hata Dick anaita Ndick
 
Lengo lako Hendo acheze namba ngapi?
Tumesha ambiwa Hendo anamchango mkubwa si uwanjani tu bali nje ya uwanja hivyo usitegemee tutasajili mchezaji wa namba yake atakae mzidi kiwango hilo sahau mkuu.

Timo werner anapigiwa chapuo na vyombo vya habari atue Liverpool sijui kunani mpaka wamsukumie huku?
KDB anakaa kwa Gini tena anapewa namba 8
 
KDB unimuweka position ya GINI ni wastage of resource! You know why?

Ni kwamba KDB ni Kiungo mshambuliaji while GINI amedizainiwa katika position ya kuwa defensive minded that's why Mara nyingi unamuona strategically kucover nafasi ya Robbo pale anapokwenda kushambulia.

Gini hachezeshwi namba 8 wala 10 ambazo ndiyo namba za Maangamizi za KDB aka Albino aka Mzee wa Ngwasuma aka Albino wa Kimakonde aka mpiga Ruler aka Mzee wa Kiminyio
 
Ahaa! Kumbe Waswahili tuna tatizo la kutokijua kiswahili chetu na ndiyomana Captain Marvelous neno Dogo anaita Ndogo, Danadana anaita Ndanadana, Daudi anaita Ndaudi, Dingi anaita Ndingi, na kibaya zaidi hata Dick anaita Ndick
😂😂😂😂😂😂😂😂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️Aaa lugha yetu pendwa ni tatizo Kwa wengi ndugu hahahaha....

mtuache na kiswazi chetu...

Kitaa tunasemaga meseji delivadi...

😂😂😂😂😂
 
KDB unimuweka position ya GINI ni wastage of resource! You know why?

Ni kwamba KDB ni Kiungo mshambuliaji while GINI amedizainiwa katika position ya kuwa defensive minded that's why Mara nyingi unamuona strategically kucover nafasi ya Robbo pale anapokwenda kushambulia.

Gini hachezeshwi namba 8 wala 10 ambazo ndiyo namba za Maangamizi za KDB aka Albino aka Mzee wa Ngwasuma aka Albino wa Kimakonde aka mpiga Ruler aka Mzee wa Kiminyio
Hao ndo wale lazima Hendo acheze nnashaka ndo anategemewa na kamati ya ufundi mana si chapuo hili

Mimi si mtu wa stutas ila Keita juzi kapondwa sana kama kacheza vibaya ila pamoja na ubovu alo onye unaweza kuta kamzidi stutas Hendo.

Kunamtu alisema hakabi namii nimeona kapora mipira kama mitatu hivi
 
Keita anaenda msimu wa pili kila siku anaumia tu.... Msimu huu Hendo yuko form sana
 
klopp hatabiriki. unaweza kuona mchezaji mzuri sana(Minamino,Keita,Shaqir) lakini asiwape priority.
hivyo, kdb anaweza kusajiriwa liverpool lakini akampa majukumu tofauti.
Keita ni very disappointing ila frankly speaking as long as firmino yuko fit keita tumsubiri msimu ujao..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom