zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
Nimelazimika kuukaa kimya ila honestly nilivyoona Keita kapondwa vile nikahisi nimeangalia mpira vibaya au lah siwezi kuangalia mpira kiufundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndo wale lazima Hendo acheze nnashaka ndo anategemewa na kamati ya ufundi mana si chapuo hili
Mimi si mtu wa stutas ila Keita juzi kapondwa sana kama kacheza vibaya ila pamoja na ubovu alo onye unaweza kuta kamzidi stutas Hendo.
Kunamtu alisema hakabi namii nimeona kapora mipira kama mitatu hivi
Sent using Jamii Forums mobile app