Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu yule jamaa alikurupuka tu kucomment na hajui ya kwamba ngono ni zawadi ya Mungu kwa wanandoa na walio nje ya ndoa hawana ruhusa ya kutenda, sasa liverpool ya sasa hivi kushinda ni kawaida tu ni kama ngono kwa wanandoa
Dadeki! Kumbe ndiyomana Timu zote zimetuchukia kupita kiasi pale tunapobeba Kembe 😀😀😀
Yani kushiba mwaka huu basi majibu yetu humu unawezajibiwa kuhama nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7816.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah! Humu sikuhizi kuna mijadala mitamu sana ya kujadili kuhusu wachezaje.

Naona Leo mada ni KEITA na HENDO

Lakini sikuhizi sipendi kushiriki kwenye mijadala kama haya ya kutofautiana mitazamo ndiyomana sichangii chochote bali huwa ninasoma cimments ya Watu tu coz kuna watu wame ni demoralize kuhusu kudebate kwa kuniattack.

Na mimi nakuwaga napenda sana mtu a-attack mawazo yangu na sipendi aniattack mimi.
 
Dah! Humu sikuhizi kuna mijadala mitamu sana ya kujadili kuhusu wachezaje.

Naona Leo mada ni KEITA na HENDO

Lakini sikuhizi sipendi kushiriki kwenye mijadala kama haya ya kutofautiana mitazamo ndiyomana sichangii chochote bali huwa ninasoma cimments ya Watu tu coz kuna watu wame ni demoralize kuhusu kudebate kwa kuniattack.

Na mimi nakuwaga napenda sana mtu a-attack mawazo yangu na sipendi aniattack mimi.
Wasamehe chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu anatukanwa humu kama malafyale lkn mbona yupo anapambana na anachokiamini...Tabu uwa unaanza pale unapotaka wazo au hoja au unachokitaka wewe kuwa cha kila mtu hiyo ndio shida.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ivi Malafyale kwakuwa karidhia kutukanwa ndiyo role model wetu wa kuwa nasisi tukubali kutukanwa? Kijana unakwama wapi aisee?

Kwahiyo kwa kuwa Juma Lokole anapumuliwa Mgongoni na Mimi nisione shida kufanywa hivyo au?

Brother every one will lead his own life hatuishi maisha kwa kuigana.

Sisi wengine ni watu na heshima zetu hatuwezi kuishi maisha ya kutukanwa na watoto wadogo ndiyomana tumekataa kuwa Wanasiasa.

Mimi siwezi nikaacha kazi nikaishia kujikabidhi Liverpool kuwa ni yangu pekeyangu kama ninahisa pale then nikaishia kushambuliwa kwa Matusi.

Brother futa mawazo yako ya kuishi kwa kuiga sifa za Mtu. Analofanya au kufanyiwa mwenzako hilo libaki la kwake tu! Wewe fanya ya kwako.

Yani usingelitoa mfano wa kuwa "Mbona Malafyale anatukanwa" ningelikuona wa busra sana.

Usirudie tena misamiati ya kufananisha maisha.

NB: Mimi ni binaadamu wa kawaida tu kama wengine, kwahiyo hukuwa na haja ya kumquote mtu mwengine kuhusu Mimi! Niquote tu Mimi directly sina shida yoyote.
 
Jamani kuna contractor huku amepewa kandarasi ya kubomoa daraja! Olachuga upo wapi mpaka daraja linabomolewa?

Aisee napata wasiwasi kuwa inawezekana Timu zote za Kiengereza zikaishia hatua hii.

Ngoja tuone City leo atakachokifanya
 
Liverpool HALISI,msiwe na wasi wasi
Atletico atapigwa kama mtoto mdogo Anfield
Klopp hawezi shindwa kubadiri matokeo kwa kufungwa bao 1 ugenini
 
Acha usenge katafute bwana akutibu mtu mzima unaongea ujinga nenda kaliwe ukiwa umevaa jezi ya man u mgongoni
Liverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.

#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee napata wasiwasi kuwa inawezekana Timu zote za Kiengereza zikaishia hatua hii.

Ngoja tuone City leo atakachokifanya
Mbona unaona shaka? Yaani Atletico atoboe pale Anfield? Kitakuwa kichekesho cha mwaka! Kaka yake alilamba 4-0 pale, hivyo Mimi sina shaka na kusonga mbele!
 
Sema Liverpool tuna system nzuri sana ya mpira

TAA, Robo, Hendo, Salah, Mane na Firmino wana assists kuanzia 5 alafu ukiangalia na postion zao uwanjani, utagundua Klopp ni Genius
 
Klop kwa Nini kampeleka Fabinho acheze Attacking Mid badala ya Holding?
Nabby angecheza Attacking Mid na sio Holding.
Baada ya Nabby kutoka akamchezesha Ox Attacking area na Gabby kukaba.
ni swala la kiufundi, TAA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom