Could have enjoyed more ingekua yule babu Pellegrin ndio bado kocha wao...Lazima tukumbuke kuwa Westham walikuwa ni Relegator
Hivyo walikuwa na kila sababu ya kuwa piga uwa lakini wafight till the end
Wewe ndo hujui na wala uelewi chochote, unakurupuka tu, Ngono ni zawadi ya aliyo itoa kwa wanandoa, kasome hata vitabu vya dini
Sent using Jamii Forums mobile app
iliwekwa humu humu public watu wakajiunga kwenye group lakini ustaarabu ukawa hakuna wakaanza kuleta mizaha na kejeli nyingi halafu lile group hatujaadili wala hatufanyi uchambuzi wa mpira tunapanga mipango ya kusheherekea ubingwa wa EPL, anyway kama ni ngunu kutoa namba yako na yawezekana hauna imani na mimi acha tu. Lakini wapo wengi ambao tayari wamejiunga na group na wanajua nini kinachoendelea.Sio bure una lako jambo, why unataka pm na sio public?
Utadhani tuliwatuma wawe kwenye transition kwa namna anavyobwabwajaSawa
Hiv unajua kua tangu marefa wenu akina WEB wastafu urefa hamjachukua EPL na hamtochukua kwa sasa hesabuni miaka 50![]()
Hadi huko UEFA tulikobeba wote walikuwa kwenye transition?Liverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.
#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU
na kwani sisi ndo tulikuweka huko kwenye transition? Kwahyo tusishinde sbb wewe upo kwenye transition? Tukungoje au sio?
Liverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.
#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU

daaah mkuu polee sana naona unaumia sanaaa ila kawaida iyoKitu ambacho unatakiwa kukielewa ni kwamba Keita ni threat ya garasha letu lile. Kwa hiyo ikitokea akawa na game mbovu utasikia kelele zinazopigwa humu.
Ila Keita ni machine, mpira anaujua kwa kufundishwa, uzoefu na kipaji.
Hauzwi kokote, na muda ukifika namba ya Henderson ataichukua.
Hamna kitu pale Keita hayupo kwenye FormWaliokuwa wanamtaka Keita mechi ya ATM nadhani wamemuona
Kinachoniuma zaidi kwa huyu jamaa ni ile NUMBER 8 anaitukanisha matusi makubwa,Kama kuna uwezekano hiyo namba wangemvua tu.Hamna
Hamna kitu pale Keita hayupo kwenye Form
Game ya ATM kati anacheza Faby, ox na gini
Namba sio inayocheza,kama Jana hajacheza vzr sio kila siku ndio atakuwa hvyo.Kinachoniuma zaidi kwa huyu jamaa ni ile NUMBER 8 anaitukanisha matusi makubwa,Kama kuna uwezekano hiyo namba wangemvua tu.
Hiyo namba utaivaa wew ??Kinachoniuma zaidi kwa huyu jamaa ni ile NUMBER 8 anaitukanisha matusi makubwa,Kama kuna uwezekano hiyo namba wangemvua tu.
Hahahahahahahahah Team Keita bana huyo jamaa mnampaga sifa nyingi sana lakini kila match ana ni Aibu By the way NABY KEIITA hana miaka 25 yule ni ana zaidi ya 30.Hiyo namba utaivaa wew ??
Huyu Keita huyu ana kipaji kweli ila ni kibabu hiki,yupo kama Shaban Kisiga tu...mifupa ishadindaHahahahahahahahah Team Keita bana huyo jamaa mnampaga sifa nyingi sana lakini kila match ana ni Aibu By the way NABY KEIITA hana miaka 25 yule ni ana zaidi ya 30.
Unapokutana na Timu zinapombana for survival mechi huwa ngumu mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna
Hamna kitu pale Keita hayupo kwenye Form
Game ya ATM kati anacheza Faby, ox na gini
We waache hao wanaotuma namba DM wataisha kama corona asee. Huwezi mtumia mtu namba yako humu JFSio bure una lako jambo, why unataka pm na sio public?