Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni PM namba yako nikuunge kwenye group la Whatsapp kama baadhi ya Kops walivyofanya halafu nikawaunganisha, maana link Jamaa kaamua kuifunga kwa sababu Nyumbu walikuja kuleta vurugu. Ni PM nikuunge
Sio bure una lako jambo, why unataka pm na sio public?
 
Liverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.

#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU
 
Mbwa jike akiwa kwenye joto anajipendekeza kwa madume.

Naona ndicho unachofanya. Unatafuta attention kwa wanaume.
 
Liverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.

#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU
Bint lazima aliyekupa mimba kaikataa maana si kwa chuki hizi, ila mipovu yako mpelekee mwanaume wako sisi hatuhusiki na wala hatufanani nae
 
Ohooo majirani mkifanya masihara,sisimizi anaweza akaangusha kabati.West ham 2-liverpool 1 dk 57..
 
Hofu na matusi ya nini?? Message delivered kwamba ni ngekewa tu hii. Inawauma sana maana mtakua mabingwa msiokua na mvuto yaani ubingwa wenu tunaufananisha sawa na demu awe mzuri kakamilika kila kitu halafu hana wowowo.
 
last time tumeruhusu goli mbili epl hata sikumbuki ni lini........
 
Leo tunataka kuangukiwa tembe ingawa tembe lenyewe la mabua! Mpaka sasa hivi tuko nyuma 1-2! Kazi kweli kweli!
 
Mkuu tangu tutoke Winter mapumziko hii timu kuna shinda ipo kabisa inaonekana ni kama miguu imeanza kuchoka vile...

Hawa hata last season walitukazia hivi hivi tukatoka suluhu...

YNWA

Kafuatilie historian ya klopp huko nyuma. Huu ndo msimu wenu wa mwisho kua vizuri msimu ujao ni nafasi ya Europa na nyie.
Timu zake zinashindwaga kuna na consistency after achieving any big success.

Subiri atletico awatoe Uefa ndo utaniamini vizuri kwamba consistency ya timu za klopp hua inakufa kifo cha mende kama CUF ya lipumba.
 
Klopp team ilifanya vibaya kisa kuuza team players.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafuatilie historian ya klopp huko nyuma. Huu ndo msimu wenu wa mwisho kua vizuri msimu ujao ni nafasi ya Europa na nyie.
Timu zake zinashindwaga kuna na consistency after achieving any big success.

Subiri atletico awatoe Uefa ndo utaniamini vizuri kwamba consistency ya timu za klopp hua inakufa kifo cha mende kama CUF ya lipumba.
La wapi hili nalo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom