Kaka naona utachinja Ng'ombe 30 mwaka huu. HongereniHendo for Ballon O’dor
Hendo atachukua EPL player of the year
Hendo ananyanyua kwapa la EPL!
Sisi Liverpool HALISI we love you Hendo
Sent from my iPhone using JamiiForums
SawaLiverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.
#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU

Mkuu Keita ni hajakaa sawa ,au umesahau katoka injury juzi tu?? t hiv unafikir kuna kiungo fundi pale LFC kama Keita?Waliokuwa wanamtaka Keita mechi ya ATM nadhani wamemuona
Mkuu Keita ni hajakaa sawa ,au umesahau katoka injury juzi tu?? t hiv unafikir kuna kiungo fundi pale LFC kama Keita?
Acha kukata tamaa kijana
Hivi kwa nini hamuiamini hii timu kama navyoiamini mimi
Sent using Jamii Forums mobile app


yani wowote watu wanafanya Kitu ambacho unatakiwa kukielewa ni kwamba Keita ni threat ya garasha letu lile. Kwa hiyo ikitokea akawa na game mbovu utasikia kelele zinazopigwa humu.
Ila Keita ni machine, mpira anaujua kwa kufundishwa, uzoefu na kipaji.
Hauzwi kokote, na muda ukifika namba ya Henderson ataichukua.
Kwenye jamii mitazamo lazima itofautiane.
Kila mmoja ana jinsi yake ya kuona na kutafakari jambo.
Binafsi naombea Henderson apone na aendelee kuwa na kiwango alichokienesha since December 2019. Ninamhitaji sana kwenye hii run ya unbeaten 49.
hahaha!!Hendo for Ballon O’dor
Hendo atachukua EPL player of the year
Hendo ananyanyua kwapa la EPL!
Sisi Liverpool HALISI we love you Hendo
Sent from my iPhone using JamiiForums
baada ya ushindi wetu vs hammers tumefikisha mechi ngapi bila kupoteza?
ila mimi kombe tu linatosha, sita huzunika tukikosa rekodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Noted and thanks chief...Mkuu hii forum ina mambo mengi sana
Kuna watu humu wana ID zaidi ya moja, nyingine anatumia kuji-support mawazo yake
Kuna watu humu ni zaidi ya kuwa nyuma ya keyboard Kwa maana wanafahamina vema kabisa kwenye maisha halisi
Watu hatuwezi kufanana mawazo hata hao unaoona wana-support-iana kuna baadhi ya mawazo hawakubaliani
Makundi huwa yana sababu zake muhimu, na wewe unaweza jichagulia kundi ama ukawa neutral
Life is too short chief, without critics/challenge forum ingekuwa boring place
All in all kuita mawazo ya mwenzio 'upuuzi' not cool
Hapa Kuna tatizo la kiswahili mwambie mwalimu wako akurudishe vyema matumizi ya neno ngono na ndoaLiverpool sasa hivi kushinda ni sawa na ngono kwa wanandoayani wowote watu wanafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Kuna tatizo la kiswahili mwambie mwalimu wako akurudishe vyema matumizi ya neno ngono na ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app