Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sisi tunaongoza hukoo 3-2 we endelea kupiga porojo
Kafuatilie historian ya klopp huko nyuma. Huu ndo msimu wenu wa mwisho kua vizuri msimu ujao ni nafasi ya Europa na nyie.
Timu zake zinashindwaga kuna na consistency after achieving any big success.

Subiri atletico awatoe Uefa ndo utaniamini vizuri kwamba consistency ya timu za klopp hua inakufa kifo cha mende kama CUF ya lipumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.

#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU
Nakupa tu taarifa 4-2 hukoo wakat nyie mnashinda maneno sisi tunashinda magoli yanayotupatia point 3 endeleen kutengeneza timu mkishtuka miaka 30+ hii hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafuatilie historian ya klopp huko nyuma. Huu ndo msimu wenu wa mwisho kua vizuri msimu ujao ni nafasi ya Europa na nyie.
Timu zake zinashindwaga kuna na consistency after achieving any big success.

Subiri atletico awatoe Uefa ndo utaniamini vizuri kwamba consistency ya timu za klopp hua inakufa kifo cha mende kama CUF ya lipumba.
Mkuu hatujapoteza consistency mbali ni intensity baada ya mapumziko ya winter...

Hayo ya msimu ujao ndugu sio wakati wake...

Kwanza tufurahie kwanza ubingwa huu murwa kabisa aafu June tujipange kwa huo msimu mpya...

YNWA
 
IMG_7809.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
The end justify the means...

This is Liverpool its means more..

Kudos to Hammers they brought the game to us...

Fantastic from the boys in Red for finding the way to win this tonight that shows real character for Champions elect...

Next we go Watford..

Night folks..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom