DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Mbona alipigwa na Napoli mkuu....Diego huwa hapaki, huwa anacheza open game, tayari keshatoboa tundu lililoshinda timu kadhaa, records za clean sheets na sijui number of unbeaten games mwisho wake ulikuwa jana, tena mmeweka record mpya tokea vita vya pili vya dunia kwa kumaliza game bila shot on target.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni unbeaten wa EPL mzee,
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mmevunja mwiko?