Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Atletico ni timu ngumu sana kuifunga pale nyumbani kwao.

Na msipochanga karata zenu vizuri wanaweza kuwasurprise Anfield walishafanya hivyo dhidi ya Barcelona × 2 na Bayern ya Guardiola ×1, Chelsea ya Mourinho na Juventus msimu uliopita waliponea chupu chupu.
Wewe una record ninazo zihitaji.

Kwa hiyo ninazitafuta kwa lazima.

Ila jana nimeona power ya UEFA, hiki kikosi kilichocheza ndo hiki hiki kiko unbeaten EPL, lakini eti jana tumefungwa kirahisi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu, kitu kilichonishangaza ni Klopp kutomtumia kabisa Keita.

Anyway, ngoja tusubiri tuone.
 
Wewe una record ninazo zihitaji.

Kwa hiyo ninazitafuta kwa lazima.

Ila jana nimeona power ya UEFA, hiki kikosi kilichocheza ndo hiki hiki kiko unbeaten EPL, lakini eti jana tumefungwa kirahisi sana.
Timu za EPL kwa sasa ni dhaifu sana ,na nyinyi pekee mpo ktk kiwango bora na bahati juu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7761.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jana nlikuwa simuoni ndugu yangu Bobby Filminho mpaka nikaamua nijiridhishe ktk livescore kumbe alikuwepo.....

Wale wahuni hawafai katika kulinda,ila naamini hapo anfield watakufa si chini ya goli 3,

Klopp anajua kuzicheza hizi game.

NB:El Chollo katufumbua macho

Sent using Jamii Forums mobile app
Una roho ngumu sana,Na wewe Arsenal umeamua kuweka kambi humu leo hahahahahahahahah
 
Jana nlikuwa simuoni ndugu yangu Bobby Filminho mpaka nikaamua nijiridhishe ktk livescore kumbe alikuwepo.....

Wale wahuni hawafai katika kulinda,ila naamini hapo anfield watakufa si chini ya goli 3,

Klopp anajua kuzicheza hizi game.

NB:El Chollo katufumbua macho

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkae mkijua Atletico kumfunga bao tatu ni sawa na ngamia kupenya tundu la sindano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom