Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Roho inaniuma mnavyomnanga diof yule mtukutu kiboko ya mabeberu ndo alinifanya niwe kipenzi cha Liverpool
😀😀😀 Mchezaji anatema mate kama Nyoka
Ilifika pahala nikawa namuombe akienda Hotelini kupata Msosi aibuke Muhuni amtilie sumu.